Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hiyo inatokea sana ..unaenda fanya service gari..mafundi wanafungua vitu hawarudishi vizuri ndo madhara yake..kama unaweza service fanya siku kadhaa kabla ya safari..siyo unafanya service hadi usiku ili kesho udamshe
Hio ishanikuta sema nilipoteza vifuniko vya sehemu ya nati ile! Siku ingine nikasanukia nati zimelegea natoka Tegeta night kali naskia milio ya kama chuma iko loose kumbe fundi tairi hakukaza nati vizuri zikalegea
 
72B41D35-A65A-4614-8589-10D43418DA0F.jpeg
 
Back
Top Bottom