Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Safe trip. Uje na mchele + viazi 😁Mapopo wenzangu,kesho usiku T....DXA inaamsha DSM to Mbeya.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safe trip. Uje na mchele + viazi 😁Mapopo wenzangu,kesho usiku T....DXA inaamsha DSM to Mbeya.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kimara mwisho wameweka fence katikati ila bado wanazunguka hadi kule round about.Nimeona shida ya watembea kwa miguu wengine kushindwa kuheshimu alama na mahala pa kuvukia. Kwa Kijazi wameweka fans kwenye sehemu ila wanapiga maboko ya kufa mtu raia wanao vuka upande mmoja kuelekea upande wa pili
Ila Hornet atanisaidia nikipotea.Heheheheh ni noma aisee
Bado nipo kuna delay kidogo... natafuta hela ya kununua petroli kwa Sh 2511
Pale wasipokuwa na discipline waenda kwa miguu watamalizwa.Leo wakazi wa mbezi na maeneo mengine wamelalamika kwa mkuu wa mkoa kuhusu ajali kwenye barabara mpya. Wanaomba serikali uchukue hatua kudhibiti watu kugongwa.
Niliwahi kusema hapa nikaambiwa ajali hata Manzese zinatokea!
Mtaftano huo [emoji23]hii inabidi na uku kwetu tuikopi hata watembea kwa miguu wapigwe mikeka yao [emoji3][emoji3]
Hahahahaha ishafika buku 2.5Bado nipo kuna delay kidogo... natafuta hela ya kununua petroli kwa Sh 2511
Na hiyo ni Dar [emoji23]Hahahahaha ishafika buku 2.5
[emoji23][emoji23][emoji23]Bado nipo kuna delay kidogo... natafuta hela ya kununua petroli kwa Sh 2511
Maweeeee!!! Natakiwa kuwapelekea mafuta Mafundi wangu.Kimeumana...Lita moja 2,511 kwa Dar!
Unashangaa 2500?Hahahahaha ishafika buku 2.5
Wahi Sheli asbh kabla ya saa1 bei zinakuwa hazijabadilishwa badoMaweeeee!!! Natakiwa kuwapelekea mafuta Mafundi wangu.
Juzi ilikuwa 2470.
Kwa hiyo niende saa hiiWahi Sheli asbh kabla ya saa1 bei zinakuwa hazijabadilishwa bado
Ukienda saa 1 utakuta 2600 Iringa hiyo[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora nichukue boda nipelekwe.Ukifika Kariakoo uliza tu. Ila ujue tu kuuliza 1,000/- kupelekwa 2,000/-
NdiyoKwa hiyo niende saa hii
Mungu anawaona.Ndiyo
This time bei hazijabadilika bado.
Mimi nipo sheli,tunasubiri saa1 tubadilishe Bei.
Sent using Jamii Forums mobile app
watembea kwa miguu wengi pia huvunja sheria, wakigongwa lawama au mtu mbaya anatupiwa kwemye chombo cha motoMtaftano huo [emoji23]
Na wakipewa moto anaonekana mmbaya mwenye chombo cha motoKimara mwisho wameweka fence katikati ila bado wanazunguka hadi kule round about.
Utani gani tena mkuu 🧔🏼♂️🧔🏼♂️