Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hapa ni kununua Tesla tuImekula kwetu sasa loh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni kununua Tesla tuImekula kwetu sasa loh
Hamna namna ndio transformation inayotakiwa sahizi! Ni kununua Electric Cars tuHapa ni kununua Tesla tu
Uber haifai bila mtungi wa gas aisee😅! Hela itakuwa inakata sanaUber bei hazibadiriki
Mungu anawaona.
😎😎😎 kuchukua gari ya cc 600Uber haifai bila mtungi wa gas aisee😅! Hela itakuwa inakata sana
alafu uber huwezi ingia na maua mazuri mazuri ni ka gereza kaleUber haifai bila mtungi wa gas aisee😅! Hela itakuwa inakata sana
watu na matukio yetu uber sioUber haifai bila mtungi wa gas aisee😅! Hela itakuwa inakata sana
Umeme wa kulipia Kodi ya jengo au upi?Hamna namna ndio transformation inayotakiwa sahizi! Ni kununua Electric Cars tu
Huo huoUmeme wa kulipia Kodi ya jengo au upi?
Ukija kituo chetu hautojuta[emoji3]Kituo gani? Usafiri wangu unachagua vituo.
Leo nimetuma pesa kwa simu.Umeme wa kulipia Kodi ya jengo au upi?
Kinaitwaje?Ukija kituo chetu hautojuta[emoji3]
Kikali Dar nzima[emoji23],customer care ya uhakika,na Bei zetu zipo chini.
Nadhani kitaendana na gari yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ihonge heheheh... nimepata dawa yako by the way. Inaitwa baileys iko kwenye fridge inapoa tu. Jiandae kulewa soon.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka kama mazuri.
Halafu ujue nitakula hela yako ya miwani[emoji23],hali ngumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii inatutisha sana ukizingatia hizi bei mara nyingi huwa zinagoma kushuka hata mambo yanapokuwa yamerekebishwa na wakubwa wa duniaKimeumana...Lita moja 2,511 kwa Dar!
Daraja la juu muhimu.
Ni kweli Kaka ila chini lingependeza zaidi ,watanzania wengi mambo ya kupanda panda huwa hatuyapendi na pia gharama zake kiasi zinakuwa chiniDaraja la juu muhimu.