Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Ungeelekeza location vijana wakuungisheMsisahau kusambaza upendo kwa kuleta mashine zenu Carwash ili vijana wenu mtugawie riziki na sisi tukavimbe tunapovimbia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeelekeza location vijana wakuungisheMsisahau kusambaza upendo kwa kuleta mashine zenu Carwash ili vijana wenu mtugawie riziki na sisi tukavimbe tunapovimbia.
Na simama kwa niaba ya waosha magari wote.Ungeelekeza location vijana wakuungishe
Duh[emoji848]Extrovert & RRONDO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ningewaelezea baadhi ya characteristics zangu sema nitajianika tu sasa
I am always sincere when it comes to explaining my personality ila tu siyo kwa kila mtu
Ila aminini tu kwamba mie siko decent wala siyo wife material kabisa kama mnavyosema
Kwa sifa zangu sifai kabisa kuwa mke wa mtu na huko kwenye ndoa tutaenda kutesana tu
Aya ya kwanzaHahaaa mkuu kwenye suala la kutokuliwa nakubaliana na wewe
Na ni kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu
Ila kuhusu kuwa wa kishua au kuwa na V8 home nilisema wapi tena jamani mbona mie mtoto wa mkulima tu mkuu
Haha it is what it is mkuuDuh[emoji848]
And thats just that on that mkuuAya ya kwanza
Inafikirisha, samahani lakini
[emoji38]Extrovert & RRONDO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ningewaelezea baadhi ya characteristics zangu sema nitajianika tu sasa
I am always sincere when it comes to explaining my personality ila tu siyo kwa kila mtu
Ila aminini tu kwamba mie siko decent wala siyo wife material kabisa kama mnavyosema
Kwa sifa zangu sifai kabisa kuwa mke wa mtu na huko kwenye ndoa tutaenda kutesana tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Wazee wa kuosha kila chombo jikoni
Tunamalizia kupika ,vyombo vyote visafi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sijui hata nimekumbuka Nini[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau ile siku tunapiga stori,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulaleki umejuaje yani
Na wewe uko hivyo nini
Hahaaa haki ya nani tenaUmesahau ile siku tunapiga stori,
Ukiwa mwenyewe,unamaliza kupika vyombo vyote visafi.. tukawa tunasapotiana.
Imagine unaanza maisha mtoto wa mtu anakula anakurundikia vyombo[emoji38],,
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Naona maeneo yetu mazuri ya kutoa stress
Nina trip ndefu sana hii wiki.. Dodoma, Singida Mwanza, then Lindi 😄Road trip iendelee
View attachment 1932815
Muhimu sana hii, na umewahi zako mapemaaa tu 😁😁😁Kichwa kilijaa imebidi nije Ku reboot
Lindi baada ya miaka miwili ndio naenda sasa hivi , sikuwaigi kupapenda nilishaondoka pale saa nane za usiku baada ya kuona hapa elewekiHii ni zaidi ya ndefu....Lindi kumezubaa sijui siku hizi kukoje