Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakati wengine wanashikilia usukani,wengine tunashikilia vyuma Kwenye maungio ya mwendokasi[emoji23]

Trip ziendelee
IMG_20210921_160444_8.jpg
IMG_20210921_160310_8.jpg
IMG_20210921_160545_1.jpg
 
Bima ya ajali na maisha
Kuna bima inatolewa kila ukiweka mafuta na kulipia kwa simu (masterpass,lipa namba ya selcom). Mara nyingi huwa natumia njia hii kulipia mafuta kituo cha Puma, tangu wiki tatu zilizopita napata msg ya bima ya bure. Leo nimei download na kuisoma kweli ni insurance cover ya wiki moja inacover ukipata ajali,ulemavu na kupoteza maisha.
Imagine unasafiri unaweka mafuta na unapata extra cover ya ajali na maisha kwa wiki moja bure, sasa mimi naweka mafuta every week ina maana naweza kuwa na bima bure mwaka mzima.
T&C s umezipitia? Sio marketing hogwash?
 
Back
Top Bottom