Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Karibu huku
IMG_20210921_192047.jpg
 
Nililala Singida, nikafanya mambo yangu, nikapaa shwaaa arusha.. then huyo dodoma nikapumzika then huyo Dar es salaam

Asubuhi nilikuwa Babati, nikamwaga moto mpaka Arusha nikachukua parcel. Wakati nasepa pale kabla ya Tengeru walinikazia nikaandikiwa fine kwa kutembea 58 kwenye ile double road. Imagine [emoji2393][emoji2396]. Two lane expressway. Anyway yote maisha. Asante Traffic Revenue Authority kwa kunipa control number nichangie mapato ya serikali. Ila traffic wanawake wana shida flani...

Nikashika adabu mpaka Moshi nikaingia autoxpress kufanya checkup maana brake nilikuwa sizielewi. Ile rough road kule kijijini ililegeza bolt za caliper moja na exhaust ya kushoto nikaichomelea.

Nikamwaga moto mpaka Tanga. Hakukuwa na tochi hata moja ningejua ningefukia tu. Zaidi ya 700km kwa leo, si mbaya.
 
Back
Top Bottom