Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini HYUNDAI sio nyingi kivile hapa bongo?
Sijui kwa kweli!Hivi kwanini HYUNDAI sio nyingi kivile hapa bongo?
Duh kwani wenyewe wanakuwaga hawana hizo Chuma mkuuMwaka 2009 wakati tunatoka babati kuja Singinda tupofika pale Hanang (enzi hizo kuna rough road) majira ya saa saba usiku, tukashangaa kuona malori kama manne hivi yamesimama na tukawa tunasikia kelele ishara ya kwamba hakukuwa na utulivu pale.
Vuuuuup nikala break, ile tunajiuliza kuna nini au madereva wa haya malori wameamua kulala porini hapa? Mara ngongongo kwenye kioo cha gari, ile nafungua tu nikala kelbu moja matata sana.... Woote shuka chini faster faster lile jamaa likawa linakoroma, hatujakaa sawa wakaongozeka wakawa watatu.
Kwenye gari (CRUISER) tulikuwa watu wanne, yani mimi rafiki zangu wawili na mke wangu, sasa ile kutaka kuonekana mwamba mbele ya mke wangu, nikasema liwalo na liwe siwezi kuonekana dhaifu acha nice tu wakati nashuka yule mmoja aliyekuwa upande wangu nikashuka nae mazima na teke la mbupu,wakati hawajakaa sawa nikafyatua mbili juu khoo khoo niaasikia wanapiga kelele "Oyaah wana motooo "
Kuanzia sikuiyo huwa sitembei usiku sehemu zenye mapori.
Weekend uje tupige town trip na basi Moja matata sana inaitwa "Kazi One" Mitsubishi Rosa full luxury kutoka Makumbusho Kwenda Stesheni.Wadau wamepotea sana,
Nimebaki mimi nisiye na gari kwenye uzi.
Una cha moto alafu unaogopa ogopa tena ? natembeaga maporini kabisa usiku mkali alafu nakuwa mwenyewe tuMwaka 2009 wakati tunatoka babati kuja Singinda tupofika pale Hanang (enzi hizo kuna rough road) majira ya saa saba usiku, tukashangaa kuona malori kama manne hivi yamesimama na tukawa tunasikia kelele ishara ya kwamba hakukuwa na utulivu pale.
Vuuuuup nikala break, ile tunajiuliza kuna nini au madereva wa haya malori wameamua kulala porini hapa? Mara ngongongo kwenye kioo cha gari, ile nafungua tu nikala kelbu moja matata sana.... Woote shuka chini faster faster lile jamaa likawa linakoroma, hatujakaa sawa wakaongozeka wakawa watatu.
Kwenye gari (CRUISER) tulikuwa watu wanne, yani mimi rafiki zangu wawili na mke wangu, sasa ile kutaka kuonekana mwamba mbele ya mke wangu, nikasema liwalo na liwe siwezi kuonekana dhaifu acha nice tu wakati nashuka yule mmoja aliyekuwa upande wangu nikashuka nae mazima na teke la mbupu,wakati hawajakaa sawa nikafyatua mbili juu khoo khoo niaasikia wanapiga kelele "Oyaah wana motooo "
Kuanzia sikuiyo huwa sitembei usiku sehemu zenye mapori.
Nipo hapa posta nimekutana na Supra nyeupe hii mitaa DVD 😀😀Weekend uje tupige town trip na basi Moja matata sana inaitwa "Kazi One" Mitsubishi Rosa full luxury kutoka Makumbusho Kwenda Stesheni.
Unaweza ukawa na chuma, kwenye kukitumia mkaachana kwenye timing 😀😀😀.. Jeshini mnapo enda vitani sio wote mnakuwa na vyuma ila kinacho mata hapo ufundiDuh kwani wenyewe wanakuwaga hawana hizo Chuma mkuu
Ingekuwa mnarudi Bagamoyo Road ungemuomba mpashe misuli kidogo.Nipo hapa posta nimekutana na Supra nyeupe hii mitaa DVD 😀😀
Aaaaaah issue huwa ni timing tu mkuu, alafu kawaida kabla haujaamua kushambulia ni lazima ujue idadi ya maadui na wamejipangaje.Una cha moto alafu unaogopa ogopa tena ? natembeaga maporini kabisa usiku mkali alafu nakuwa mwenyewe tu
Inategemea na walivyojipanga mkuu, kuna makundi mengine utakuta yana china za kutosha, na kuna wale wengine utakuta hawana chuma wana silaha za kawaida tu Ila wanakuwa ni wengi.Na mara nyingi Hawa huvizia zaidi maroli badala ya gari ndogo ndomaana wanatega magogo usiku sana, maana kwenye malori ni mara change sana kukuta wamejihami na huwa wanatembea usiku sana.Duh kwani wenyewe wanakuwaga hawana hizo Chuma mkuu
Weekend uje tupige town trip na basi Moja matata sana inaitwa "Kazi One" Mitsubishi Rosa full luxury kutoka Makumbusho Kwenda Stesheni.
Anakuona kama Komando Rambo 😀😀Aaaaaah issue huwa ni timing tu mkuu, alafu kawaida kabla haujaamua kushambulia ni lazima ujue idadi ya maadui na wamejipangaje.
Unaweza ukawa na bastola afu wahuni wakawa na SMG na akawa sehemu ambayo labda si visible kwako ,ukajikuta unakula chuma sehemu ambayo ungeweza kuganya nao negotiation ya kawaida kabisa.
Chuma huwa tunatumia pale ambapo unaona kabisa uwezekano wa wewe kuopona haupo ( ile situation ambayo hata uwape nini ni lazima wakuue).Pale mimi niliamua kushambulia bila kujali yote hayo ili kujichukulia point kwa mama watoto wangu😅.Mpaka leo mke wangu huwa ananikumbusha hilo tukio.
Kumbe wapi tu😅. Mkuu hata wewe ukiwa na shemeji unakubali kuonewa?Anakuona kama Komando Rambo 😀😀
Maisha ndiyo yanatulazimisha kutembea usiku. Binafsi napenda kusafiri usiku ili asubuhi inikute nshafika mahali na kazi iendelee plus kunipunguzia gharama za lodging.Mwaka 2009 wakati tunatoka babati kuja Singinda tupofika pale Hanang (enzi hizo kuna rough road) majira ya saa saba usiku, tukashangaa kuona malori kama manne hivi yamesimama na tukawa tunasikia kelele ishara ya kwamba hakukuwa na utulivu pale.
Vuuuuup nikala break, ile tunajiuliza kuna nini au madereva wa haya malori wameamua kulala porini hapa? Mara ngongongo kwenye kioo cha gari, ile nafungua tu nikala kelbu moja matata sana.... Woote shuka chini faster faster lile jamaa likawa linakoroma, hatujakaa sawa wakaongozeka wakawa watatu.
Kwenye gari (CRUISER) tulikuwa watu wanne, yani mimi rafiki zangu wawili na mke wangu, sasa ile kutaka kuonekana mwamba mbele ya mke wangu, nikasema liwalo na liwe siwezi kuonekana dhaifu acha nice tu wakati nashuka yule mmoja aliyekuwa upande wangu nikashuka nae mazima na teke la mbupu,wakati hawajakaa sawa nikafyatua mbili juu khoo khoo niaasikia wanapiga kelele "Oyaah wana motooo "
Kuanzia sikuiyo huwa sitembei usiku sehemu zenye mapori.
Hata mimi baadae niliwaza hivyo, kwamba kwanini sikumpa hata ya mguu?Maisha ndiyo yanatulazimisha kutembea usiku. Binafsi napenda kusafiri usiku ili asubuhi inikute nshafika mahali na kazi iendelee plus kunipunguzia gharama za lodging.
Huyo jamaa ungembariki chuma ya goti ili akajifunze kulima badala ya kuteka.
Kila mtu atabeba msalaba wake mkuu.. 😀😀😀Kumbe wapi tu😅. Mkuu hata wewe ukiwa na shemeji unakubali kuonewa?