Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Jumamosi inapendeza, nitaondoka saa sitaWeekend tutakuwa Dodoma, hapa nawaza niondoke Ijumaa jioni au Jumamosi asubuhi...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumamosi inapendeza, nitaondoka saa sitaWeekend tutakuwa Dodoma, hapa nawaza niondoke Ijumaa jioni au Jumamosi asubuhi...?
kazi yangu leo ni moja tu 😀😀😀😀 mziki mkubwa na speedSasa kutoka hapo Msata hadi Masuguri sijui pamekaa vizuri sana kutoa carbon!
watu wapo serious na lifeMzigo huo ushafika mjiniView attachment 1996115
Mzigo huo ushafika mjiniView attachment 1996115
Kwa kuwa inatumia cng hakuna gharama kubwa....acha azurure tuu😀😀Kwahio unazurula tu
Nasikia wese limeshuka bei?
Hamieni diesel carsimeshuka diesel,petrol imebaki vilevile
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Safi...umepotea. Mbona siku hizi hupigi road trips? Au unaruka?
Unachapa lami tu mzee
CNG full tank sijui hata kama inafika elfu 20 yani 😹😹😹Kwa kuwa inatumia cng hakuna gharama kubwa....acha azurure tuu😀😀
Hii haiwezi kuwa Bongo mzee 😂😂😂 au ndio yule mzee mwenye Azam kafanya yake?Mzigo huo ushafika mjiniView attachment 1996115