Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wazee tuwahurumie warembo jamani wenye hela muwape hata passo tu jamani!😂Jua ni kali sana hapa mjiniJF kila mtu ana gari....unakwama wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee tuwahurumie warembo jamani wenye hela muwape hata passo tu jamani!😂Jua ni kali sana hapa mjiniJF kila mtu ana gari....unakwama wapi?
😀😀 Jana nilikuwa na tembea tembea tuUnachapa lami tu mzee
Vijana wa Subaru wanatambulika ulimwenguni kwa vurugu barabarani 😂 team Toyota tuheshimiwe! Msituchanganye na hao majamaa wa fuji heavy industries!
Mitungi inaharibu muonekano wa gariCNG full tank sijui hata kama inafika elfu 20 yani 😹😹😹
Hahaha unapasha chuma moto, au ndio mambo ya fundi rangi kutest gari 😂😀😀 Jana nilikuwa na tembea tembea tu
Hahaha si unauficha nyuma kule 😂Mitungi inaharibu muonekano wa gari
tukiwapa paso wao wanatupa nini 😳😳Wazee tuwahurumie warembo jamani wenye hela muwape hata passo tu jamani!😂Jua ni kali sana hapa mjini
Lazma tukae nao mezani kwa majadilianotukiwapa paso wao wanatupa nini 😳😳
Siku ya jana hata sikuwa naielewa, nikaamua tu kuanza kutembea, nimerudi nimechoka nikalala zangu 😀😀😀Hahaha unapasha chuma moto, au ndio mambo ya fundi rangi kutest gari 😂
Nyie lazma muondoke mlijazana sana road reserve za mjini😂 sahizi biashara ni fremu sio kupanga majamvi barabarani ama vimeza🤓Ndio hapo sasa .
Mwambie Extrovert wanambeya hatuondoki,,tutabanana hukuhuku.
Utoaji wa paso lazima uwe na vigezo vyake, chura kidogo , sura isiyo na hatia kidogo na sifa zingine za ziada kidogo hapo paso inatoka na mafuta ya miezi sita 😀😀 na service mwakaLazma tukae nao mezani kwa majadiliano
Huyo achana nae kwanza hata vitz old model hapewi .. laba tumfikirie SanLg used 😀😀😀Kwani Depal yeye analizungumziaje hili?
😂😂😂😂😂 kuna ka vits namba B jamani mil.3 na point tu walau ale ac jamani😀Huyo achana nae kwanza hata vitz old model hapewi .. laba tumfikirie SanLg used 😀😀😀
Kama kuna Sanlg nishtue au vitz namba T001AAA 😀😀😂😂😂😂😂 kuna ka vits namba B jamani mil.3 na point tu walau ale ac jamani😀
Mtafte huyu0657 888 883Nahitaji Recommendation ya fundi mzuri wa kupiga rangi Dar wadau
Ukinimiss sema tu, wala haina haja ya kuhangaika sana.Huyo achana nae kwanza hata vitz old model hapewi .. laba tumfikirie SanLg used 😀😀😀
😊😊😊 Ukweli nime ku missUkinimiss sema tu, wala haina haja ya kuhangaika sana.
Ahsanteee...😊😊😊 Ukweli nime ku miss
Wakuu salama? poleni kwa mihangaiko ya maisha. Nilipotea humu ila yote ni heri ni pilika za maisha.
Jamani I need your ideas, kwa wenye uzoefu, mnaweza kushare moja au mawili kuhusu hii gari ya KIA Sportage? 2012-2013? Hapa kwetu bongo vipi zinahimilika? Do we have good fundis au dealer?
Please share your honest experience! Especially kama kuna aliyewahi miliki au deal na hii gari.
Yaani nahitaji kausafiri lakini ushuru haushikiki kabisa! Kila ninapogusa, hapagusiki....!
Extrovert Mshana Jr Holy Man Hornet Kaveli Karma na wengine wenye neno, tafadhali!!!.