Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

X-mas tree....alisikika Mjapan mmoja akisema! 😂😂
IMG_20211208_204320_1.jpg
 
Pamodz haipo
Mbeya carnival pa ovyo sana
Samaki samaki haipo
Viva pia saiv inaitwa Vibe imepoa sana
Oohh thank you for the updates. Ila Mbeya Carnival ndiyo kijiwe pendwa namba moja kwa watu wengi mkuu.

Viva siku hizi inaitwa Seven Spices sijui. By the way mie napapendelea zaidi City Pub, Mbeya Pazuri, Mwailubi na Ngonga.
 
Back
Top Bottom