Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kwamba [emoji1787][emoji1787]Kumbe...[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba [emoji1787][emoji1787]Kumbe...[emoji4]
Ok, natumai nitapishana nayo siku moja.Hahaa yake ni 350XV
Kwamba [emoji1787][emoji1787]
Mida kama hii tukijaliwa nitapita hapo kesho. Kwa leo wacha nivuje jasho kwanza.
Poa Mkuu, muda nakiamshaMida kama hii tukijaliwa nitapita hapo kesho. Kwa leo wacha nivuje jasho kwanza.
Jamani jamani mbona mie nipo siku zote [emoji1][emoji1]Nikikutafuta huku, unatokea kule...[emoji4][emoji4]
Jamani jamani mbona mie nipo siku zote [emoji1][emoji1]
Unakula sana chambo na kutema ndoano😂😂Jamani jamani mbona mie nipo siku zote [emoji1][emoji1]
This time ukipata muda niambie na ndiyo maana nilikutafuta [emoji846][emoji846]Okay okay...[emoji4][emoji4]
Haha huyu sijala chambo anadai nampiga chenga eti jamani [emoji1][emoji1]Unakula sana chambo na kutema ndoano[emoji23][emoji23]
Cc Kijana wa hovyo hovyo
This time ukipata muda niambie na ndiyo maana nilikutafuta [emoji846][emoji846]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tushalamba kadi ya kwanza [emoji23]
Wacha tuendelee kugawana umaskini...View attachment 2053473
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana wii, haya bhana.Naupa mwili shukrani, hebu tulia [emoji23]