Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Na wewe umejifunzia wapi haya maneno ya kina Extrovert???Akianza 'arifu usiniletee usoro nakudere tu....'
Nakuonaga Chalii ya agano jipya muefeso.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umejifunzia wapi haya maneno ya kina Extrovert???Akianza 'arifu usiniletee usoro nakudere tu....'
😂😂😂😂Si nawasoma humu wakianza kutafuta ban!
Hahahahahah ila masaki uswazi hamna kweli? Mbona naona kama kuanzia kwa Eddo mpaka Macho kule kuna hali flani ya uswahilini hivi?Mikocheni,mbezi beach,kunduchi, bahari beach,ununio kote kuna uswazi
Mtaa gani mkuu [emoji846][emoji846]Ntaenda kuangalia kama ni kuzuri nachukua kimoja chap. Nimeambiwa ni 1.5 km toka baharini.
Ahaa kumbe basi ndio maana...Maana wakiongelea Masaki mule naona kama kuna ukakasi kumbe ni MsasaniIle ni Msasani.
Sema Extrovert ana maneno aisee😂Si nawasoma humu wakianza kutafuta ban!
Ndio hapo sasa [emoji3][emoji3]Pole mkuu.
Mzinga kama huu sio wa kitoto.
Ila mara nyingi wale wanaouliziwa utakuta wanafahamiana na wadau wengine nje ya jukwaa.
Sasa ukikaa kijeshi kama mimi, siku ukipotea ni ngumu kuuliziwa.
Kwamba Msasani😁Ahaa kumbe basi ndio maana...Maana wakiongelea Masaki mule naona kama kuna ukakasi kumbe ni Msasani
Hivi na wewe huwa unayo?🤣Kila mtu ana maneno ila mpaka um push to the limit
Sijawahi kuona popote,zaidi ya uzi fulani wa jamaa fulani anaitwa Nondo..aliandika uzi humu wa kumaliza chuo..Yapo ya kutosha.
Ahaa hapo umenifungua sasa, kwahio kuanzia Chole road ndio Masaki inapoanza?Ile yote Msasani hata Capetown fish market ipo Msasani sio Masaki.
Nashukuru Sana mkuu.Pole sana mkuu natumai unaendelea vizuri. Uwe unajichanganya na watu sasa ili wawe wanakuulizia, maana mbona wengi tunapoteaga na hatuuliziwi na hatujawahi kulalamika, sikuwahi jua kama kuuliziwa na watu wa jf ni deal hivyo.