Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Unaenda Ofisini kwao Kisha watakupa makadirio ya Kodi ya gari hiyo ambayo haipo utaulizwa Bei au invoice yake.
Kuna specific formula wanaitumia?

Labda mtu kabla hujaagiza gari, unataka ujue atleast kodi itacheza kwenye kiasi gani.

Tufanye umenunua gari la 100M, unataka kujua range hiyo kodi yake itacheza, manake usije nunua gari ukakuta kodi ni mara 3 ya CIF ya hiyo gari.

Ukaishia itekeleza bandarini.
 
Ni utashi tu mtu anaamua hii bei fulani,ile bei fulani hakuna kanuni. Nimeweka humu mfano BMW cif 17m lakini kikotoo cha tra kodi 34m
 
Kuna specific formula wanaitumia?

Labda mtu kabla hujaagiza gari, unataka ujue atleast kodi itacheza kwenye kiasi gani.

Tufanye umenunua gari la 100M, unataka kujua range hiyo kodi yake itacheza, manake usije nunua gari ukakuta kodi ni mara 3 ya CIF ya hiyo gari.

Ukaishia itekeleza bandarini.
Unaweza hata ukaleta invoice ya hio gari 100m wao wakakwambia bei yetu ni 300m hio yako hatuitambui. Ni ujinga ujinga tu hakuna weledi hata kidogo. Gari Japan zinauzwa $1000-1500 kila mtu anajua hapa ushuru wanaweka 6-10m maana yake nini?
 
TRA pumbafu kabisa.

Manake mtu anaenunua gari kama Ferrari, Bentley, Aston Martin ategemee kodi mara 3 yake?

Kwamba gari inayouzwa $200,000 kodi yake iwe $600,000. Mzigo unaingia nyumbani $800,000 imekutoka?

Parefu hapo.
 
Nimepaki hapa dakika 20. Imepita Toyota Progres moja imeiva vibaya mno. Ndio gari pekee iliyopita hapa muda wote huo.

Kuna kimeo nakisolve then nianze trip kuupanda mlima

View attachment 2094113
Kuanzia mwezi wa tatu naanza kupiga route non stop.. sema hizi nitakua naishia katika dodoma, kanda ya ziwa yote na kaskazini..
 
..hii nchi ina vijana wa ajabu sana..
[emoji38][emoji38][emoji38]
Eti wanasema hii Vitz inachuja rangi ikinyeshewa na mvua.....tazama hayo maji hapo chini kwenye paving..[emoji2957][emoji2957]
FB_IMG_16436944577315365.jpg
 
Back
Top Bottom