Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Shy-town
IMG_20220125_082400_7.jpg
 
Changamoto ya tatu wezi, nimeibiwa kile cha kupangusia maji ya mvua sijui waiper, nadhani nimeibiwa kwenye foleni. Natakiwa nipige libit sijui kuzunguka gari yote ili wasichomoe vitu vingine.
Ni hayo tuu madereva wenzangu
Pole sana wengine magari yetu hata tukiliacha wiki nje hamna kinachoibwa!
 
Wakuu namimi naendelea na road trip yangu fupi fupi, nazidi kuimprove daily, Bado sijapata ujasiri wa kupiga picha na gari inatembea kama mfanyavyo.
Changamoto za barabarani ya kwanza ni bodaboda. Yaan Hawa watu hapana aiseee anakatiza tuu mbele yako speed kubwa.
Changamoto ya pili ni honi za madereva. Mwanzoni nilikua nawasikiliza nababaika, siku hizi nawapuuza mwenye haraka aovertake. Kutoka kimara had mjini maximum magari 8-13 yananiovertake.
Changamoto ya tatu wezi, nimeibiwa kile cha kupangusia maji ya mvua sijui waiper, nadhani nimeibiwa kwenye foleni. Natakiwa nipige libit sijui kuzunguka gari yote ili wasichomoe vitu vingine.
Ni hayo tuu madereva wenzangu
Hizo honi wala usizipuuze...
Unatakiwa kujenga mazoea ya kusikiliza sauti kutoka kila upande wa gari lako na kuzifanyia uchambuzi ndani ya ubongo wako within a second..[emoji28]..wakati huo huo unaendesha.....[emoji28]

Hizo honi kuna siku utapigiwa honi yenye maana, ya kukuepusha na majanga, ukaipuuza....hapo ndipo patamu..[emoji28][emoji28]

Endelea pia kujenga mazoea ya kuendesha gari lako, GARI lililoko mbele yako na nyuma yako, boda boda au bajaji zilizopo kushoto kwako na kulia kwako..

Mwee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu honi za madereva wa Dar ukizifuatilia utakuwa kichaa!
 
Hizo honi wala usizipuuze...
Unatakiwa kujenga mazoea ya kusikiliza sauti kutoka kila upande wa gari lako na kuzifanyia uchambuzi ndani ya ubongo wako within a second..[emoji28]..wakati huo huo unaendesha.....[emoji28]

Hizo honi kuna siku utapigiwa honi yenye maana, ya kukuepusha na majanga, ukaipuuza....hapo ndipo patamu..[emoji28][emoji28]

Endelea pia kujenga mazoea ya kuendesha gari lako, GARI lililoko mbele yako na nyuma yako, boda boda au bajaji zilizopo kushoto kwako na kulia kwako..

Mwee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Siku akikutana na honi za madereva wa mabasi ya mikoani anaingia mtaroni mazima. Hasa asubuhi.
 
Wakuu namimi naendelea na road trip yangu fupi fupi, nazidi kuimprove daily, Bado sijapata ujasiri wa kupiga picha na gari inatembea kama mfanyavyo.
Changamoto za barabarani ya kwanza ni bodaboda. Yaan Hawa watu hapana aiseee anakatiza tuu mbele yako speed kubwa.
Changamoto ya pili ni honi za madereva. Mwanzoni nilikua nawasikiliza nababaika, siku hizi nawapuuza mwenye haraka aovertake. Kutoka kimara had mjini maximum magari 8-13 yananiovertake.
Changamoto ya tatu wezi, nimeibiwa kile cha kupangusia maji ya mvua sijui waiper, nadhani nimeibiwa kwenye foleni. Natakiwa nipige libit sijui kuzunguka gari yote ili wasichomoe vitu vingine.
Ni hayo tuu madereva wenzangu
Boda bwana ukiwaogopa inakuwaga kama ndo unawaita. Hawanaga cha kushoto wala kulia kote wanaovertake tena kwa mkwala kabisa sijui wanataka usimame wapite?

Hawa jamaa siku sio nyingi watapita juu wataona ubavuni hapatoshi wana haraka sana.

Honi bwana sijui shida huwa iko wapi Dar. Aisee hizi driving schools ni za kuchunguzwa na serikali 🤣🤣 tena tume maalum kabisa iundwe

Usiwe mwepesi kuogopa utazoea tu. Kuna Malori ya mawe yale mafuso utazoea wewe keep calm hata iweje na uwe alert. Wengi mabarabarani ni wehu tu sasa lazima uwe makini times two.
 
Back
Top Bottom