Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Nan alikulisha hili tangopori mzee?Zipo nyingi sana.
Hizo vxr ni petrol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nan alikulisha hili tangopori mzee?Zipo nyingi sana.
Hizo vxr ni petrol.
Kama kuna polisi karibu, wapime mchakato wa bima uanze.
Tayari zimeshaingia kwenye msafara WA mama.......niliziona juzi kati😄😄😄 naona wana zisubiri kwa hamu sanaa.. tusubiri budget mpya ikitoka watakuja nazo.. nasubiri kuziona kwenye msafara wa mamaaa
Pole sana mkuu.....mlimalizana nao kwa mtindo gani?
Tayari zimeshamwagika......machine ambayo sijaiona mtaani ni ile range rover 2022Budget ikitoka tu lazma chuma zimwagike road😂😂😂 watasumbua sana yani
Shukrani kakaKama kuna polisi karibu, wapime mchakato wa bima uanze.
Pole sana mkuu.
Asante bossDuuh Pole sana mkuu
Yeye ndiye mwenye makosa, ana jukumu la kunilipaPole sana mkuu.....mlimalizana nao kwa mtindo gani?
Sawa boss mlimaliza kwa mtindo ganiYeye ndiye mwenye makosa, ana jukumu la kunilipa
Duh pole sana mkuu.
Pole mkuu. Naimani itarudi vizuri zaidiYeye ndiye mwenye makosa, ana jukumu la kunilipa
Kuanzia B'moyo ww nenda kwa tahadhari tu, 'wanauziana" sana aisee. So ukijiachia sana utakutana na ushahidi mbele ukusanywe pembeni ubetishwe.Wakali wa hizi kazi...
Mwenye kujua vijiwe vya wazee wa favor "kunguru weupe" barabara ya Tanga <> Dar hebu aviweke bayana hapa, kuna road trip ya kutumia hiyo barabara Jumapili, nisijewaachia wakuda hao pesa ya sikukuu...
Dar - Bagamoyo - Segera - Muheza - Tanga
Kuanzia B'moyo ww nenda kwa tahadhari tu, 'wanauziana" sana aisee. So ukijiachia sana utakutana na ushahidi mbele ukusanywe pembeni ubetishwe.
Kila la heri kwenye kusaga lami mwamba.Shukrani mkuu, siku nyingi sijapita hii barabara itabidi niwe makini tu na vibao vyao na mistari ya overtaking...