Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Dar - Mwzanza mwenye kujua tochi zilipo anitonye wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii barabara nilipita mwezi uliopita.[emoji593][emoji593][emoji593][emoji593]View attachment 2195311
Fuata vibao mkuu...Dar - Mwzanza mwenye kujua tochi zilipo anitonye wadau
[emoji120]Fuata vibao mkuu...
Huu mwezi wote wana operation maalum
Yaani unaweka matuta kuzuia ajali halafu huweki alama yoyote kuonesha kuna tuta,nchi inakera hii!Alafu walivyo ajinga hata rango hawakuyapaka. Nilijua tu lazima watu wale za uso pale
Hii barabara tamu sana kwa sisi wapenda mbio nilitoka kondoa saa kumi alfajiri kumi na moja na robo nipo dodoma hapo nipo na Primio (F)
Ngoja nikupige cheti cha mchongo
Nipo mkuu pilika ilika za kusaka mapene. Trip zinaendeleaMzee wa majesta ,mwendazake -ndago ,loong time umeuacha uzi kwa muda mreefu,ni kwamba umeamua kuwa na trip za hapa town kama kaka yake saint Anne mzee holy man😁😁😁 ???
Nipo Mkuu. NAWADEKSHIA TUJamaa kweli kapotea
NdioWigelekelo kesho tar 25 najua hauna road trip [emoji28][emoji28][emoji28] utakuwa na jambo lako!!!
Nchi ngumu sana hiiYaani unaweka matuta kuzuia ajali halafu huweki alama yoyote kuonesha kuna tuta,nchi inakera hii!
Nilimsamehe on the spot pale polisi, sikutaka niandikishane naye asinilipe ajione mjanja. Nikamwambia okoa muda wangu, tusilale polisi mpaka Jumatatu, beba bumper zangu nifuate mpaka Dar unifikishie nyumbani then you will be free to go.Na yule jamaa aliekugonga alikulipa au ni bima imelipa? Au umetoa mfukoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio gari za wenye hela, na wenye mapenzi na ndinga, haya ma V8 ni umaskini wetu tu wabongo kuziona ndio kila kitu.
Kuweka matuta ni kitendo kinachofanywa haraka sana si kwa sababu ya ajali ila kwa vile kuna upigaji wa hela.Nchi ngumu sana hii
Utakuwa uliniona mmJana kuna mdau alikuwa anatumia Crown Majesta!
Alinifurahisha sana.