Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Approximately 8hrs up to 9hrs apo ni sawa mkuu Kuna port mmoja ivi anamuenesha mkuu flan ana vxr lc 200 aliniambia dar mwanza 5hrs akiwasha Yale mataa ya juu ya emergency
Haiwezekani.

Dar - Mwanza ni 1200 km kwa 5hrs manake anatembea 240kph mwanzo mwisho?

Haiwezekani kabisa.

Kuanzia masaa 8 ni reasonable tena kwa shida mno.
 
Moshi Jacaranda zipo pia, ukitoka YMCA ukashika njia barabara ya Shanty Town hii ya CCP inayopitiliza mpaka Junction ya hapa karibu na Uhuru Hostel ipo mingi tu. Pia around Shanty Town humo kwenye mitaa kadhaa ipo. Arusha pia in some places ipo, na hii ndio miezi yake ya kuchanua
Basi miezi nnayoenda huwa siioni barabarani. Huku imepamba barabara haswa.

20221020_101255.jpg
 
Impact ya sungura ilifumua tu pumper upande mmoja the rest was intact. Ila wanyama hawakuta kuniacha.

Saa 12 kamili asubuhi, nikiwa kijiji cha mwisho kuingia Masasi, mbwa alikuwa katikati ya lane ya pili ya barabara. Nikaachia mguu nikabana kwangu zaidi niendelee na mambo yangu.

Kumfikia karibu, akaamua avuke barabara kwa kucross upande nnaopita. Akaingia kwenye plate number humo akaibomoa bumper chini.

Ntanunua dashcam ya kurekodi matukio na starehe za road trips.

View attachment 2392125

Pole kaka, ungekuwa na gari ya juu bumper lisingeumia
 
Back
Top Bottom