Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

jamaa kaona mambo yasiwe mengi, 1G ndani ya Bimmer. kwa majirani Zambia hapo
Screenshot_20230202_070436_Facebook.jpg
 
Welldone mkuu ,umesafiri salama, wazee wa road trip mpo kimya!@Wigelekelo upo kimya mno, pls updates ile Nakonde to Serenje ,hasa pale bwawa la samaki (maana ile sehemu kuiendesha naona kama natazamana na mkata pumzi),Inyala Pass vipi wamefukia yale mashimo na ile de tour imeisha au ndio yale yale?pls hope's zile tuta za Mafinga zimeondolewa!
 
mafinga tuta zipo kama ulivoziacha, inyala (pipeline) mashimo wamefukia kwa kiasi chake na pia kwa sasa kunakuwa na foleni kama iliyopo pale iwambi, kwamba kuna muda wa kupita malori na muda wa gari ndogo...
 
Thanks mkuu, itabidi nipite pale mafinga under cover of the darkness na kusawazisha uchafu ule, halafu kuna zile rasta mbaya sana unapokaribia tanangozi hadi pale ihemi, loo uchafu ule unaumiza mno
 
Welldone mkuu ,umesafiri salama, wazee wa road trip mpo kimya!@Wigelekelo upo kimya mno, pls updates ile Nakonde to Serenje ,hasa pale bwawa la samaki (maana ile sehemu kuiendesha naona kama natazamana na mkata pumzi),Inyala Pass vipi wamefukia yale mashimo na ile de tour imeisha au ndio yale yale?pls hope's zile tuta za Mafinga zimeondolewa!

Salamu mkuu
 
Back
Top Bottom