Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Field Visit
Ar, Makuyuni, Karatu, Mbulu... View attachment 2592946
😂😂😂
76F5A12C-D537-485E-984D-3A4D1576AE87.jpeg
 
Wakuu hivi hizi chuma kwanini ni classic sana bei yake ukiikuta stock huigusi au kwa vile old is gold halafu vinakuaga na cc kubwa sana.View attachment 2599356

Hii sio old,Ni gari ya miaka ya hivi karibuni inatengenezwa na NISSAN,Ila imekuwa inspired au imevaa body ya RollsRoyce phantom ya 1960s.pia usione ndogo kiumbo ila wameweka engine kubwa humo ya v6
 
Back
Top Bottom