Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Wewe ni mtu na nusu, huwa unanikosha kwa ucheshi wako.
Saa nyingine mtu anaugusa moyo tu kwa mwandiko🤣🤣
Wewe ni mtu wa maana sana, Mungu akutunze huko uliko mamy
Weeweee.... mwendhako hado nimejikuta nang'ata kucha eehehehe🙈🙈🙈🙈
Kusifiwa kutamuuu karibia na utamu wenyewee eehehehhe...
Wacha nikupe hii picha taswira, kwa uchache nafahamu wanaume ama mwanaume akikutana na mwanamke yule amemvutia ama amefanya akahisi cheche kwenye mwili wake kuna maeneo ya mwili ya huyo mwanaume huinuka ama kusimama ama kufanya movement flani hivii amazing eeheheheheee....
Sass hizo sifa zako zimenifanya uso umenyooka tabasamu pevuu kunyanzi kuleee utasema binti wa 20s kumbeee.....😅😅😅😅.
Jokes aside, I humbly appreciate your compliments 🥰.
Kasinde.