Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Fuel bill inakuja ngapi? Kuna rafiki yangu anataka kuchukua VW Tiguan au Ford Ranger 2024 akifanikiwa tunainyoosha mpaka SA.
Andaa kama 1-1.5m TZS (one way) - hiyo inajumuisha mafuta, accommodation njiani, toll gate fee, insurance Zambia na fee Fulani (Pula 400) ukipita Botswana.
**Weka na hela ya kuhonga (overtake/dangerous driving, over speed - Askari wa Zambia Wana njaa mno. Botswana hawana njaa kabisa.
 
Siku ingine weka reserve cheerleader....yule main anajua haendi halafu hataki uende na mtu so anajidai anaenda halafu dakika za mwisho anacho,oa akijua ni ngumu kupata replacement
Gharama zingeongezeka Mkuu. Hao wadudu kuwafukuza South Africa wanachachawa na vitu kwenye maduka/malls
 
Andaa kama 1-1.5m TZS (one way) - hiyo inajumuisha mafuta, accommodation njiani, toll gate fee, insurance Zambia na fee Fulani (Pula 400) ukipita Botswana.
**Weka na hela ya fine, Askari wa Zambia Wana njaa mno. Botswana hawana njaa kabisa.
Sio mbaya, sisi tutashare gharama za mafuta na fees za gari. But thisi is 'a must do adventure'
 
Hunishindi mimi, yaani sina starehe zaidi ya kusafiri safiri hovyo
Kila mtu na starehe yake mkuu.
Mimi ninaposafiri huwa nahesabu ni liikizo yangu, baada ya safari huwa narudi na akili na nguvu mpya
 
Sio mbaya, sisi tutashare gharama za mafuta na fees za gari. But thisi is 'a must do adventure'
Unanipa wazimu, hiyo ni safari mzuri sana, unapitia milima na mabonde, utaenjoy sana view kali na location za uhakika
 
Back
Top Bottom