Wazee wa Shinyanga wamjia juu Polepole

Wazee wa Shinyanga wamjia juu Polepole

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na Serikali

Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake

Polepole amekumbushwa kuwa kila zama na kitabu chake
 
Mgeja huyu timu lowassa ten timu CHADEMA want the hell is that,akae kimya na tumbo lake

USSR
 
Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na serikali

Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake

Polepole amekumbushwa kuwa kila zama na kitabu chake
Mleta Uzi umekaa kiushabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na serikali

Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake

Polepole amekumbushwa kuwa kila zama na kitabu chake
Amepewa kifurushi cha mwezi kikiisha hamamsikia tena popote pale
 
Mwageja...Nyanoko bebe ......ulinmfyata kolomije Jiwe na kusaliti ndoto ya
Shimba RIP Bob Makani.....
Anyway.....mtulije Polepole....
 
Kwani watu wanapigiaga kelele demokrasia, demokrasia. Hiyo ni demokrasia gani ambayo wanaipigania kama wanaona wengine hawana haki ya kutoa maoni yao? Nauliza tu.
Si alianzishaga jiwe hii tabia ya kutotaka maoni ya kupingana nae huku wapambe wake wakina polepole wakiwa kimya wanafurahia Vieite tu.

Tulia Sasa wanyooshwe,Ni zamu yao.
 
Hahahaha Siasa bhana, leo akina Khamisi Mgeja nao wanafurukuta.. kweli kila masika yana mbu wake.
 
Kwani watu wanapigiaga kelele demokrasia, demokrasia. Hiyo ni demokrasia gani ambayo wanaipigania kama wanaona wengine hawana haki ya kutoa maoni yao? Nauliza tu.
Kuna uwanja wa maoni na uwanja wa kufarakanisha. Polepole ni mbunge akihisi ana maoni ya maana aandae muswada au hoja binafsi bungeni yenye mashiko Ili kuwasilisha maoni yake yalete tija kwa Taifa. Hii kuwatishia walio madarakani na kuwatoa akili viongozi huku tukijua yeye kwenye Zama zake alikuwa mtu wa tabia gani sio sawa wala sio maoni.
 
Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na serikali

Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake

Polepole amekumbushwa kuwa kila zama na kitabu chake
Hivi huyu alie katwa mkia bado yupo?
 
Back
Top Bottom