Fact zipi Nitajie moja tu?
1.Kipindi cha JPM alidai deni la taifa sio issue sababu miradi imefanyika so tuangalie faida za mikopo sio ukubwa wa deni.
Awamu hii anadai deni la taifa niukoloni mamboleo sababu deni linakufanya mtumwa.
2.Alidai katiba mpya sio kipaumbele cha watu na kwamba yale yote waliyotaka kwa katiba mpya JPM katekeleza!!
Ila awamu hii anadai hakuna uwajibikaji kwa sababu mifumo imejaa wahuni etc. Sasa unajiuliza kama alijua cha muhimu ni mfumo imara sio JPM imara kwanini alipinga Katiba mpya enzi ni Katibu Mwenezi??
Tuanzie hapo