Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Mbona maswali yake ni rahisi sana , Hicho chuo chenu cha uongozi kimesajiliwa NACTE au TCU ?
Webinar channels hazihitaji usajili, mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona maswali yake ni rahisi sana , Hicho chuo chenu cha uongozi kimesajiliwa NACTE au TCU ?
Wahuni mnatifuanaMwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na Serikali
Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake
Polepole amekumbushwa kuwa kila zama na kitabu chake
Kuna uwanja wa maoni na uwanja wa kufarakanisha. Polepole ni mbunge akihisi ana maoni ya maana aandae muswada au hoja binafsi bungeni yenye mashiko Ili kuwasilisha maoni yake yalete tija kwa Taifa. Hii kuwatishia walio madarakani na kuwatoa akili viongozi huku tukijua yeye kwenye Zama zake alikuwa mtu wa tabia gani sio sawa wala sio maoni.