Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mbona maswali yake ni rahisi sana , Hicho chuo chenu cha uongozi kimesajiliwa NACTE au TCU ?Mgeja huyu timu lowassa ten timu CHADEMA want the hell is that,akae kimya na tumbo lake
USSR
Akijua atakuja kusomaMbona maswali yake ni rahisi sana , Hicho chuo chenu cha uongozi kimesajiliwa NACTE au TCU ?
Andika kiswahili kaka, aibu nyingine zinaepukika.Mgeja huyu timu lowassa ten timu CHADEMA want the hell is that,akae kimya na tumbo lake
USSR
Usipanic.Mgeja huyu timu lowassa ten timu CHADEMA want the hell is that,akae kimya na tumbo lake
USSR
Mleta Uzi umekaa kiushabikiMwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na serikali
Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake
Polepole amekumbushwa kuwa kila zama na kitabu chake
Kwani hicho chuo kimesajiliwa wapi?
Sina ushahidi wa kuaminika in direct Ila hata kama chuo hakijasajiliwa ,kwani fact za polepole na wewe umejiridhisha kuwa hazina mashiko au unafuata mkumbo?Kwani hicho chuo kimesajiliwa wapi?
Amepewa kifurushi cha mwezi kikiisha hamamsikia tena popote paleMwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na serikali
Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake
Polepole amekumbushwa kuwa kila zama na kitabu chake
Ataleta wajukuu zake waje kusom hapoAkijua atakuja kusoma
USSR
Si alianzishaga jiwe hii tabia ya kutotaka maoni ya kupingana nae huku wapambe wake wakina polepole wakiwa kimya wanafurahia Vieite tu.Kwani watu wanapigiaga kelele demokrasia, demokrasia. Hiyo ni demokrasia gani ambayo wanaipigania kama wanaona wengine hawana haki ya kutoa maoni yao? Nauliza tu.
Kuna uwanja wa maoni na uwanja wa kufarakanisha. Polepole ni mbunge akihisi ana maoni ya maana aandae muswada au hoja binafsi bungeni yenye mashiko Ili kuwasilisha maoni yake yalete tija kwa Taifa. Hii kuwatishia walio madarakani na kuwatoa akili viongozi huku tukijua yeye kwenye Zama zake alikuwa mtu wa tabia gani sio sawa wala sio maoni.Kwani watu wanapigiaga kelele demokrasia, demokrasia. Hiyo ni demokrasia gani ambayo wanaipigania kama wanaona wengine hawana haki ya kutoa maoni yao? Nauliza tu.
Hivi huyu alie katwa mkia bado yupo?Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na serikali
Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi kinachoendeshwa na Polepole mtandaoni kama kumesajiliwa na kujua wanafunzi wake
Polepole amekumbushwa kuwa kila zama na kitabu chake