Wazee wa Shinyanga wamjia juu Polepole

Sina ushahidi wa kuaminika in direct Ila hata kama chuo hakijasajiliwa ,kwani fact za polepole na wewe umejiridhisha kuwa hazina mashiko au unafuata mkumbo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fact zipi Nitajie moja tu?

1.Kipindi cha JPM alidai deni la taifa sio issue sababu miradi imefanyika so tuangalie faida za mikopo sio ukubwa wa deni.

Awamu hii anadai deni la taifa niukoloni mamboleo sababu deni linakufanya mtumwa.

2.Alidai katiba mpya sio kipaumbele cha watu na kwamba yale yote waliyotaka kwa katiba mpya JPM katekeleza!!

Ila awamu hii anadai hakuna uwajibikaji kwa sababu mifumo imejaa wahuni etc. Sasa unajiuliza kama alijua cha muhimu ni mfumo imara sio JPM imara kwanini alipinga Katiba mpya enzi ni Katibu Mwenezi??

Tuanzie hapo
 
Akamuulize Musikuma
 
Huyu sio Mgeja
Hizi ni siasa Majitaka za Katambi Shinyanga town
Karai Katambi ndiyo mbinu zake hizooooo
 
Hawa wasaka tonge tu kama Polepole
 
CCM kumejaa watu wa hovyo sn hao wote ni wasaka tonge hakuna la maana
 
Mzee anazeeka vibaya huyu. Mbona yeye aliihama CCM kumfuata Lowasa. Au ndiyo nyani Hanoi kundule!!
 
Lakini Polepole hana chuo cha uongozi, ni shule ya uongozi, na hawa ndio wanafunzi wake🤣🐒👇

 
Kama vipi wamfukuze ubunge then aanzishe chama faster kabla ya 2023.presidential candidate huyu.
 
hapo sasa
 
Polepole inatakiwa ashughulikiwe ipasavyo, yupo kwajili ya kumpinga Rais na kumkwamisha
 
Wewe mpuuzi, representative sample ya wazee wa shinyanga ni mgeja? Badilisha kichwa cha habari
 
Neno chuo limetumika kuashiria maarifa ya uongozi. Chuo kama chuo lazima kiwe na jina, eneo /mahali pia waendeshaj na mitaala au programu.
 
Mgeja hana ushawishi wowote wa wazee shinyanga hizo propaganda za vijana wa ccm! Wameshindwa kumjibu wakiwa lumumba ambapo katibu wao yupo na mic mengI Sasa hivi anaongea NONSENSE wanarukia mikoa mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…