Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Katika sakata na minyukano inayoendelea kuhusiana na kuvunjika kwa dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nimekutana na video clip moja ya baadhi ya mashabiki wa upande wa Yanga wakiwananga wazee wa timu ya Simba kwa kutoa tamko lao wakiwa Bar kuhusiana na sakata hilo.
Mashabaki hao wamewakejeli wazee hao kwamba sio wazee wa Simba kweli bali ni vijeba na wahuni tu kwa sababu haiwezekani wazee wakawa Bar katika mwezi mtukufu!
Wazoefu wa hizi timu, ni kweli wazee wake hawatakiwi kwenda bar mwezi mtukufu? Hii kauli nimeiona ya ubaguzi na ukakasi mkubwa.