Hivyo vilabu wako pia wakina Mwigulu, Mavunde, Aveva n.kHizo klabu ziko kiislam zaidi, sikiliza hata kauli mbalimbali za wasemaji wao utashangaa zaidi. Kuna ile ya msemaji wa simba kuelekea misri anaongea utadhani klabu ni ya waislam watupu
Wamejipendekeza hizo club ni za waisilamu wa kariakooHivyo vilabu wako pia wakina Mwigulu, Mavunde, Aveva n.k
Simba na yanga kuna Udini wa kutisha, angalia uongozi wa juu wa vilabu hivi, kama uko vizuri upstairs utaelewaKatika sakata na minyukano inayoendelea kuhusiana na kuvunjika kwa dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nimekutana na video clip moja ya baadhi ya mashabiki wa upande wa Yanga wakiwananga wazee wa timu ya Simba kwa kutoa tamko lao wakiwa Bar kuhusiana na sakata hilo.
Mashabaki hao wamewakejeli wazee hao kwamba sio wazee wa Simba kweli bali ni vijeba na wahuni tu kwa sababu haiwezekani wazee wakawa Bar katika mwezi mtukufu!
Wazoefu wa hizi timu, ni kweli wazee wake hawatakiwi kwenda bar mwezi mtukufu? Hii kauli nimeiona ya ubaguzi na ukakasi mkubwa.
Nyinyi watoto wa PAPA walalamishi sanaHizo klabu ziko kiislam zaidi, sikiliza hata kauli mbalimbali za wasemaji wao utashangaa zaidi. Kuna ile ya msemaji wa simba kuelekea misri anaongea utadhani klabu ni ya waislam watupu
pamoja na uwepo wao uislam unabrandiwa sana na wasemaji wao utadhani kila mwanasimba/mwanayanga ni muislamHivyo vilabu wako pia wakina Mwigulu, Mavunde, Aveva n.k
ndivyo ilivyo, waswahili ndio walianzisha vilabu hivyo ndio maana vimejaa mambo ya kiswahiliWamejipendekeza hizo club ni za waisilamu wa kariakoo
Mbona kwenye maofis wamejaa wakristo na udini wa wazi tunaishi nao tuSimba na yanga kuna Udini wa kutisha, angalia uongozi wa juu wa vilabu hivi, kama uko vizuri upstairs utaelewa
Yeah
Sura Ya Konyagii Hii