Wazee wa 'unbeaten' tujikumbushe somo la 'map reading'. Soma picha hii kisha ujibu maswali

Wazee wa 'unbeaten' tujikumbushe somo la 'map reading'. Soma picha hii kisha ujibu maswali

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
1669815591126.png

MASWALI:
1. Hii picha ilipigwa wapi?
2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani?
3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi?
4. Hii picha ni ya tukio gani?
Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
 
With vivid examples answer these questions ....

:Where was the photograph taken?
2:When was the photograph taken?
3:Mention the tone of the photographer
4:Mention one economic activity that takes place at the area.
5:Elaborate the five functions of the area
 
Huyo jamaa bora angebaki tu huko GSM!

Ila hizi picha zinasaidia kuwazuga wanachama na mashabiki waone kumbe hata viongozi hudata timu isipofanya vizuri.

1:What type of photography is this?

2: What is the weather of the place?

3:What time was it taken?
 
Team Yetu Imejaa Mbinu Chafu Na Ujanja Kama Mende Chooni
 
View attachment 2431755
MASWALI:
1. Hii picha ilipigwa wapi?
2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani?
3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi?
4. Hii picha ni ya tukio gani?
Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
Hii kutokana vile ramani inanionesha ni kuwa huyu ni kijana mmoja kutoka katika kambi moja yakuitwa Jangwani ila nasikia pia ndiye raisi wa kambi hiyo .

Ni hapo alisafiri kuelekea huko nyanda za juu kusini karibu na kule wanakotoka toka wale jamaa wa kujiita KOMA KUMWANYA

Basi safari yake alibeba keki kuuuuuuuuubwa ikiwa imeandikwa UNBEATEN 50 kwanini keki sasa ? Ila ilikuwa na rangi ya kijani

Ilibidi tu aibebe maana aliwabeba na wana kambi ya jangwani kwake ati kwenda kuwapiga watoto wa mkulima wa mpunga .

Sasa ya nini kuacha domo wazi na macho kumtoka kama mjusi aliyebanwa na mlango ?

Aanhaa kaka tafadhali nipe ulinzi nikujuze kilichomkuta .

Si watoto wa mkulima waliwatandika watoto wake tofauti na vile alivyodhani .

Basi macho na domo vikajikuta katika zamu ya kukaa wazi na kutumbuka .

Basi nasikia hata hiyo keki haikuliwa ila ikawa ni chungu

Basi huyo kijana wa watu kutoka mujini dasalam akarudi mikono nyuma kichwa chini na watoto wake.

Nahisi namjua hivyo sasa sijui ndivyo au sivyo ?
 
Back
Top Bottom