mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Je hii picha ni:View attachment 2431755
MASWALI:
1. Hii picha ilipigwa wapi?
2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani?
3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi?
4. Hii picha ni ya tukio gani?
Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
Kumbe mambo ya kupeana hela yapo wazi kiasi hicho!!!View attachment 2431816
Majibu yako hapa
Hii kutokana vile ramani inanionesha ni kuwa huyu ni kijana mmoja kutoka katika kambi moja yakuitwa Jangwani ila nasikia pia ndiye raisi wa kambi hiyo .View attachment 2431755