Alexiza
Member
- Nov 26, 2019
- 19
- 10
Basi bana leo niko zangu home nimelala mida ya mchana mchana hivi baada ya njaa kunitandika kinoma nikaona nijiegeshe kwa bed nivute vute muda wa menu liive kwa kwasababu beki 3 alikuwa jikoni anafanya mambo.
Nimelala kuanzia mishale ya saa 7 mchana mpaka nakuja kushituka mishale ya saa 9 kama na nusu hivi hapo nakaribia kuded kwa njaa si nikaona nisogee jikoni kwasababu kimya kimezidi menu haliji.
Ile nafika jikoni si namkuta beki 3 anachati kucheki kwa display conversation anachat na mshua wanapangana menu lilivokuwa tamu restaurant walipokuwa wanakula menu da!
Kwasababu kwa muda huo akili yangu ilikuwa inawaza menu tu ikabidi nipige chini niulizie menu kama tayari nigonge si beki 3 akashtuka mara nacheki anaendea sufuria la maharage mabichi analitenga jikoni baadae akarudi ananiambia ndo anatenga maharage yaive apike menu alikuwa katumwa na mshua town daa!
Nikaomba hata kiporo kama kipo chenga nikamind kichizi nkajifikiria kutaka kumpasua ile namuwashia mara! mshua huyu hapa kaanza kuniwashia kama namwambia mchongo mzima ananiwashia eti kama nataka menu nioe mke awe ananipikia kwanza hata yeye mwenyewe hajagonga menu hadi mishale hiyo dah!
Nimemmind kichizi beki 3 sema kumpasua au kumuwashia nikashindwa mshua ikabidi nikaushe na njaa langu mpaka mishale hii eti ndo nagonga menu na ni kwasababu bi mkubwa kasafiri. Noma kichizi wazee