Wazee wa vitengo sogeeni hapa tukutane, hichi sio kisa bali ni mkasa

Wazee wa vitengo sogeeni hapa tukutane, hichi sio kisa bali ni mkasa

Alexiza

Member
Joined
Nov 26, 2019
Posts
19
Reaction score
10
Basi bana leo niko zangu home nimelala mida ya mchana mchana hivi baada ya njaa kunitandika kinoma nikaona nijiegeshe kwa bed nivute vute muda wa menu liive kwa kwasababu beki 3 alikuwa jikoni anafanya mambo.

Nimelala kuanzia mishale ya saa 7 mchana mpaka nakuja kushituka mishale ya saa 9 kama na nusu hivi hapo nakaribia kuded kwa njaa si nikaona nisogee jikoni kwasababu kimya kimezidi menu haliji.

Ile nafika jikoni si namkuta beki 3 anachati kucheki kwa display conversation anachat na mshua wanapangana menu lilivokuwa tamu restaurant walipokuwa wanakula menu da!

Kwasababu kwa muda huo akili yangu ilikuwa inawaza menu tu ikabidi nipige chini niulizie menu kama tayari nigonge si beki 3 akashtuka mara nacheki anaendea sufuria la maharage mabichi analitenga jikoni baadae akarudi ananiambia ndo anatenga maharage yaive apike menu alikuwa katumwa na mshua town daa!

Nikaomba hata kiporo kama kipo chenga nikamind kichizi nkajifikiria kutaka kumpasua ile namuwashia mara! mshua huyu hapa kaanza kuniwashia kama namwambia mchongo mzima ananiwashia eti kama nataka menu nioe mke awe ananipikia kwanza hata yeye mwenyewe hajagonga menu hadi mishale hiyo dah!

Nimemmind kichizi beki 3 sema kumpasua au kumuwashia nikashindwa mshua ikabidi nikaushe na njaa langu mpaka mishale hii eti ndo nagonga menu na ni kwasababu bi mkubwa kasafiri. Noma kichizi wazee
 
Aisee hio safi sana mzee baba next time akikufanyia hivyo cheki ushauri wangu hapo chini mkuu.

Madhiy

Madhiy ni maji yenye kunata na yanamtoka mtu aidha anapokuwa anawaza au kutamani kujimai, au hata bila ya kuwaza kama ilivyo katika hali ya muulizaji. Na hazina sifa kama sifa za manii tulizozitaja hapo juu. Na pia huwatokea wanawake na wanaume ila aghlabu huwatokea sana wanawake. (Hii ni rai ya Imaam An-Nawawiy katika maelezo yake ya Sharh Muslim 3/213

B-Tofauti kuhusu ya hukumu yake baada ya kutokwa

Manii:

Yanapotoka manii, inampasa mtu afanye ghuslu kwa ajili ya kujitoharisha (janaabah) ikiwa yamemtoka mtu manii wakati wa kujimai au kwa hali yoyote nyingine ikiwa yu macho au ameota ndoto n.k.

Madhiy

Yanapomtoka mtu madhiy humpasa kufanya wudhuu tu. Na dalili ni:
 
Mwenye update kutoka kwenye pambano la mwakinyo atuwekee
 
Nimegundua mambo matatu:

1:- Wewe bado mdogo vumilia.
2:- Ulifanya kosa kuchunguza yasiyokuhusu, huyo beki tatu wenu huenda ndio anapandishwa cheo kuwa maza hauzi (mama mdogo wako)
3:- Jitahidi uanze kujitegemea kama unaona umekuwa.

Bonus advice; sio kila linalotokea hapo nyumbani unalileta humu kwa kuwa sio tabia nzuri kutoa siri za familia nje.
 
Wee mvulana(sio mwanaume umri wako bado) uwe unajitafutia hata jero jero mambo yakiwa makavu unaunga na juhudi zako sio kulia lia
 
Hii ndio Tanzania na vijana wanaohitajika kujenga nchi ndio sampuli hizi zimejaa,tuna Safari ndefu ya kwenda.
 
Hahah mkuu umenikumbusha enzi hizo Tyson alikalishwa na lewis lenox, mtaani wakawa wanasema gloves za Lewis zilikua zina madawa ya kulevya.,hahah.
Naona mnataka kulimaliza kijanja kwa kufanya figisu kwenye gloves
 
Wee mvulana(sio mwanaume umri wako bado) uwe unajitafutia hata jero jero mambo yakiwa makavu unaunga na juhudi zako sio kulia lia
usifikr kula om ndo kukosa pesa uijui aina ya familia nnayotea dats y u said dat hahah[emoji28][emoji28] ila wory out ushauri wako wameupokea walio ktk iyo stuation ya kukosa ata jero ya kula
 
usifikr kula om ndo kukosa pesa uijui aina ya familia nnayotea dats y u said dat hahah[emoji28][emoji28] ila wory out ushauri wako wameupokea walio ktk iyo stuation ya kukosa ata jero ya kula
Kama unajiweza binafsi ndo akili usibweteke kisa uko home ww ni mtoto wa kiume akili kichwan siku zote hiyo ni torati.
 
Hahah mkuu umenikumbusha enzi hizo Tyson alikalishwa na lewis lenox, mtaani wakawa wanasema gloves za Lewis zilikua zina madawa ya kulevya.,hahah.
Lakini lile gem lilikua na chembe flani za figisu ndo maana jamaa akaomba gemu irudiwe hata kwa kutumia gharama zake binafsi
 
Back
Top Bottom