Wazee wa Vyombo aka Masanga aka Bwaksi

Wazee wa Vyombo aka Masanga aka Bwaksi

Binafsi nampa salut mtu anae kunyw pombe na isimletee hadha yoyote ..Nakumbuka mwaka 2015 kwenye tafrija kipindi na fanya kazi kwenye kiwanda cha kuzalisha vileo kikijulikana kwa jina la TDL au maarufu kiwanda cha konyag,nakumbuka siku hyo nilisema leo nataka nionje pombe kwa mara ya kwanza pombe niliyo azimia kuinywa ni aina ya zanzi maana ndo ilikua kama lulu pale kiwandan ukiachilia Dodoma wine au Nyag bas bwana mzee mzima nikazama toilet na viroba vyangu vi 3 vya mills 100 nilivipiga fasta maana nilijulikana kama mlokole asiyependa pombe pale kazini ,Baadae kidogo vika anza kunichukua bwana aise nikaanza kuona kama nimevaa miwani ya lens naona raia wanao serebuka kama sisimizi dah yan ovyo tu kichwa kinauma yan arafu kunawakati nikawa najikuta mi ndo mkurugenz mkuu yan vi2ko niliwakata mitama watu hatari...ilibdi wanifungie kwenye stoo moja ,nikapelekwa home baada ya sherehe kuisha tulipo fka hme nikalala naamka asubuh kichwa kiliuma sana.SIKUWEZ UNIWEZPOMBE NA SIKUTAK.
 
Mambo zina wenye .binafs nampa salut mtu anae kunyw pombe na isimletee hadha yoyote ..Nakumbuka mwaka 2015 kwenye tafrija kipindi na fanya kazi kwenye kiwanda cha kuzalisha vileo kikijulikana kwa jina la TDL au maarufu kiwanda cha konyag,nakumbuka siku hyo nilisema leo nataka nionje pombe kwa mara ya kwanza pombe niliyo azimia kuinywa ni aina ya zanzi maana ndo ilikua kama lulu pale kiwandan ukiachilia Dodoma wine au Nyag bas bwana mzee mzima nikazama toilet na viroba vyangu vi 3 vya mills 100 nilivipiga fasta maana nilijulikana kama mlokole asiyependa pombe pale kazini ,Baadae kidogo vika anza kunichukua bwana aise nikaanza kuona kama nimevaa miwani ya lens naona raia wanao serebuka kama sisimizi dah yan ovyo tu kichwa kinauma yan arafu kunawakati nikawa najikuta mi ndo mkurugenz mkuu yan vi2ko niliwakata mitama watu hatari...ilibdi wanifungie kwenye stoo moja ,nikapelekwa home baada ya sherehe kuisha tulipo fka hme nikalala naamka asubuh kichwa kiliuma sana.SIKUWEZ UNIWEZPOMBE NA SIKUTAK.
ahahhahahaha
 
afu unashuka kwalift au ?

Yaap
IMG_3004.JPG
 
View attachment 766546 ona kuashilia hivi vitu ni vizuri waiter kajawa na furaha, anatabasam tu, sisi watu wakuzurula zurula hizo ndio zetu maana maeneo mengine ukienda henken, windo hawajui kabisa kuwa ni bia zaidi ya hizo tunaziita chama la wana

Ha ha ha ha chama la wanna
 
Nilianza na safari lager wakaichakachua
miaka 2000 nikahamia "a beer balance to parfection" castle lager nikadumu kwa miaka 11 ikanza kuzingua kichwa na hangovers kibao nikaenda castle late ikanibore...nimerudi home land safari lager naifeel sana hapa nilikuwa nimepumzika nakutana na huu uzi ngoja nipate maji ya kuoga nisogee mapinga Kibo Pub tena siku hizi pana ile kitu groou, groou (kiti moto).
 
Mambo zina wenye .binafs nampa salut mtu anae kunyw pombe na isimletee hadha yoyote ..Nakumbuka mwaka 2015 kwenye tafrija kipindi na fanya kazi kwenye kiwanda cha kuzalisha vileo kikijulikana kwa jina la TDL au maarufu kiwanda cha konyag,nakumbuka siku hyo nilisema leo nataka nionje pombe kwa mara ya kwanza pombe niliyo azimia kuinywa ni aina ya zanzi maana ndo ilikua kama lulu pale kiwandan ukiachilia Dodoma wine au Nyag bas bwana mzee mzima nikazama toilet na viroba vyangu vi 3 vya mills 100 nilivipiga fasta maana nilijulikana kama mlokole asiyependa pombe pale kazini ,Baadae kidogo vika anza kunichukua bwana aise nikaanza kuona kama nimevaa miwani ya lens naona raia wanao serebuka kama sisimizi dah yan ovyo tu kichwa kinauma yan arafu kunawakati nikawa najikuta mi ndo mkurugenz mkuu yan vi2ko niliwakata mitama watu hatari...ilibdi wanifungie kwenye stoo moja ,nikapelekwa home baada ya sherehe kuisha tulipo fka hme nikalala naamka asubuh kichwa kiliuma sana.SIKUWEZ UNIWEZPOMBE NA SIKUTAK.
Hahaaaaa Mkurugenzi mkuu umenichekesha sana.Kuna mdada nilishuhudia akivua nguo zote mbele ya wazazi na ndugu kama ana mashetani vile, baada ya Masanga kumzidia tena ilikua kwenye sherehe aisee aibuu.
 
Hapa natest Serengeti light, katika mkakati wa kumtafuta mbadala wa Windhoek
 
Dah!? Enzi zangu napiga biere ilikuwa mwake, toka vyuma kukaza nimehamia za kienyeji yaani huku hatuna gharama buku tatu kwisha habari yangu, sema nakuwa mvivu kuoga, na kufua, tukishawaka kwa raha zetu, sema nini Misosi yetu huku ndo haina kiwango lkn vishavu na kitambi fulani kwa mbaali vinanitoka, Papuchi wala hatukumbukagi zikishuka sana Porini tunamalizaga mama Muuza anajua, kesho hatukumbukagi ya Jana, kila siku ni Mpya aaa, Pombe za gharama ni Burudani na Banana nazo ni chini ya bukuu tu. Tuna keep lt Local na Konyagi Mwitu.
 
Back
Top Bottom