Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,035
In heaven there's no beer..... that's why I'm drinking beer.....and when I'm gone from here.....my friends will drink my beer.... Tuimbe wote jamani...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhh!! Hongerahii kitu safi sana naburudika nayo now!
ahahhahahahaMambo zina wenye .binafs nampa salut mtu anae kunyw pombe na isimletee hadha yoyote ..Nakumbuka mwaka 2015 kwenye tafrija kipindi na fanya kazi kwenye kiwanda cha kuzalisha vileo kikijulikana kwa jina la TDL au maarufu kiwanda cha konyag,nakumbuka siku hyo nilisema leo nataka nionje pombe kwa mara ya kwanza pombe niliyo azimia kuinywa ni aina ya zanzi maana ndo ilikua kama lulu pale kiwandan ukiachilia Dodoma wine au Nyag bas bwana mzee mzima nikazama toilet na viroba vyangu vi 3 vya mills 100 nilivipiga fasta maana nilijulikana kama mlokole asiyependa pombe pale kazini ,Baadae kidogo vika anza kunichukua bwana aise nikaanza kuona kama nimevaa miwani ya lens naona raia wanao serebuka kama sisimizi dah yan ovyo tu kichwa kinauma yan arafu kunawakati nikawa najikuta mi ndo mkurugenz mkuu yan vi2ko niliwakata mitama watu hatari...ilibdi wanifungie kwenye stoo moja ,nikapelekwa home baada ya sherehe kuisha tulipo fka hme nikalala naamka asubuh kichwa kiliuma sana.SIKUWEZ UNIWEZPOMBE NA SIKUTAK.
afu unashuka kwalift au ?Wazee breakpoint posta pachafu atari mi nimehamia Ramada encore 13 rd floor beer on rooftop
Hizi bia tamu sana ila ukitaka zianze kuingia kichwani uwe na atleast si chini ya misimbazi 3View attachment 766455
View attachment 766546 ona kuashilia hivi vitu ni vizuri waiter kajawa na furaha, anatabasam tu, sisi watu wakuzurula zurula hizo ndio zetu maana maeneo mengine ukienda henken, windo hawajui kabisa kuwa ni bia zaidi ya hizo tunaziita chama la wana
Hahaaaaa Mkurugenzi mkuu umenichekesha sana.Kuna mdada nilishuhudia akivua nguo zote mbele ya wazazi na ndugu kama ana mashetani vile, baada ya Masanga kumzidia tena ilikua kwenye sherehe aisee aibuu.Mambo zina wenye .binafs nampa salut mtu anae kunyw pombe na isimletee hadha yoyote ..Nakumbuka mwaka 2015 kwenye tafrija kipindi na fanya kazi kwenye kiwanda cha kuzalisha vileo kikijulikana kwa jina la TDL au maarufu kiwanda cha konyag,nakumbuka siku hyo nilisema leo nataka nionje pombe kwa mara ya kwanza pombe niliyo azimia kuinywa ni aina ya zanzi maana ndo ilikua kama lulu pale kiwandan ukiachilia Dodoma wine au Nyag bas bwana mzee mzima nikazama toilet na viroba vyangu vi 3 vya mills 100 nilivipiga fasta maana nilijulikana kama mlokole asiyependa pombe pale kazini ,Baadae kidogo vika anza kunichukua bwana aise nikaanza kuona kama nimevaa miwani ya lens naona raia wanao serebuka kama sisimizi dah yan ovyo tu kichwa kinauma yan arafu kunawakati nikawa najikuta mi ndo mkurugenz mkuu yan vi2ko niliwakata mitama watu hatari...ilibdi wanifungie kwenye stoo moja ,nikapelekwa home baada ya sherehe kuisha tulipo fka hme nikalala naamka asubuh kichwa kiliuma sana.SIKUWEZ UNIWEZPOMBE NA SIKUTAK.
Basi we ni chapombe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiukweli mi sina pombe maalum ,yoyote inayonipitia mbele yangu Siku hiyo naipiga na asubuhi nakua poa