Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Punda.....,Mkuu Fidel
Mimi nadhani sehemu kubwa ya wachangiaji wanapofikia kujadili hoja fulani hawaangalii substance ya hoja zilizofikishwa kwao.
Kama watasoma au kusikiliza kwa kwa makini hawa wazee wanaowaponda hapa ni kwamba waliamua kutoa taarifa yao hiyo baada ya kutafakari kuwa utaratibu na sheria hazikungatiwa na Mengi wakati anafanya press conference yake. Kwa maana ya kuwa hakutowa ushahidi na vielelezo juu ya tuhuma zake. Na kikubwa kabisa ambacho wazee wale wa Yanga (ambao wengine wanawaita hawakusoma) wameonesha busara yao hata ya kuonesha nini Mengi angefanya, yaani kufikisha ushahidi na vielelezo vyake katika vyombo husika. Sasa kwa wale ambao wanataka kuwa hukumu hawa wazee kwa kueleza misimamo yao kama klabu wanakosea kwani klabu ya Yanga ina mahusiano na Manji kama mfadhili wao.
Nadhani ni vema tukaagalia uzito wa hoja ya wazee na sio kuwakashifu kwa maneno ya kejeli, hatujengi na hatuwatendei haki.
Hayo unayoyasema kama ungekuwa huongelei vyombo vinavyohusika na sheria au vihusikavyo nchini Tanzania ningekuelewa sana. understand that you are talking about the so called United Republic of Tanzania, where there is no rule of law and the system is "mafia" controlled; do you expect Mengi is so stupid to go and alert the giovernment security organs secretly? Remember that from the TOP man to Takukuru, to the General are all under the pyaroll of the Manjis, and that is their survivor; you know nothing about this country. Mengi knew and knows what he is doing!!