Wazee wa Yanga wanamtetea Manji!

Wazee wa Yanga wanamtetea Manji!

Mkuu Fidel
Mimi nadhani sehemu kubwa ya wachangiaji wanapofikia kujadili hoja fulani hawaangalii substance ya hoja zilizofikishwa kwao.

Kama watasoma au kusikiliza kwa kwa makini hawa wazee wanaowaponda hapa ni kwamba waliamua kutoa taarifa yao hiyo baada ya kutafakari kuwa utaratibu na sheria hazikungatiwa na Mengi wakati anafanya press conference yake. Kwa maana ya kuwa hakutowa ushahidi na vielelezo juu ya tuhuma zake. Na kikubwa kabisa ambacho wazee wale wa Yanga (ambao wengine wanawaita hawakusoma) wameonesha busara yao hata ya kuonesha nini Mengi angefanya, yaani kufikisha ushahidi na vielelezo vyake katika vyombo husika. Sasa kwa wale ambao wanataka kuwa hukumu hawa wazee kwa kueleza misimamo yao kama klabu wanakosea kwani klabu ya Yanga ina mahusiano na Manji kama mfadhili wao.
Nadhani ni vema tukaagalia uzito wa hoja ya wazee na sio kuwakashifu kwa maneno ya kejeli, hatujengi na hatuwatendei haki.
Punda.....,
Hayo unayoyasema kama ungekuwa huongelei vyombo vinavyohusika na sheria au vihusikavyo nchini Tanzania ningekuelewa sana. understand that you are talking about the so called United Republic of Tanzania, where there is no rule of law and the system is "mafia" controlled; do you expect Mengi is so stupid to go and alert the giovernment security organs secretly? Remember that from the TOP man to Takukuru, to the General are all under the pyaroll of the Manjis, and that is their survivor; you know nothing about this country. Mengi knew and knows what he is doing!!
 
Kama mliwahi kusikia mafisadi wataigawa nchi, ndio hapa tulipo Nchi imegawika ,la ajabu wahindi na mengi wote wamo ndani ya chombo kimoja cha CCM.
 
Wazee hawa ,kama Mengi, wamejiingiza kwenye mainstream politics ambazo zinagusa hisia za Taifa zima.
Mtu anayekuibia ,tahadhari ukipewa ni jambo muhimu sana.
Hata Mwalimu wakati fulani, wakati wa ukombozi wa Rhodesia (Zimbabwe) na Afrika Kusini aliwahi kusema hawa wakubwa (Marekani na Uingereza)hatuwawezi kwa kuwapeleka mahakamani au kwa kuwazuia, kilichobaki ni kuwazomea na kuwapigia kelele.
Kelele za maskini ni muhimu sana katika siasa.
Africa Association (baadaye Yanga iliasisiwa nayo)ya wakati huo walifanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuwahasasisha umma juu ya uhuru wa Tanganyika.
Leo Mengi alichokifanya ni hivyo hivyo. Watanzania tunaibiwa na watu walio na ubia na wanasiasa leo unataka ushahidi.Utaupata wapi?
Kinachotushangaza wengi ni hawa wazee kukosahekima ya kuienzi Yanga kama klabu yenye historia nzito nchini

Gwakisa,
Ahsante kwa mchango wako.
Lakini nadhani you missed a key point katika maelezo ya wazee wa Yanga na endapo ungelikuwa umeirejea katika posting yako hapo juu nafikiri usingewaita kuwa wamekosa hekima.

Katika saga hili la Mengi ni lazima ukubali kuwa kuna upande ambao unaokuwa Mengi alichofanya ni sawasawa na kuna upande mwingine unaona kuwa Mengi hakufanya sawasawa. Na hiii ndiyo point kubwa ya debate hii. Kwa wale wanaona Mengi amekosea wametoa sababu zao.
Wazee wa Yanga na wao wameeleza msimamo wao kuwa Mengi hakufanya sawasawa na wakatoa sababu zao za kimsingi kama ambavyo wote tumezisoma. Lakini wazee wale hawakuishia kueleza sababu zao tu, bali walionesha kuwa wao wana busara na hekima zaidi kwa kumwelekeza Mengi ni kipi angefanya katika hilo. Wazee clearly walimtaka Mengi awasilishe ushahidi katika vyombo husika vya sheria, sasa wewe huoni kuwa mbali na kupinga kitendo cha Mengi lakini pia wametoa suluhisho, Mkuu hapa ni vema tukajifunza kupitia kwa hawa wazee ambao mnawaita hawajakwenda shule.
 
Kama mliwahi kusikia mafisadi wataigawa nchi, ndio hapa tulipo Nchi imegawika ,la ajabu wahindi na mengi wote wamo ndani ya chombo kimoja cha CCM.

Noted na inashangaza.
 
Punda.....,
Hayo unayoyasema kama ungekuwa huongelei vyombo vinavyohusika na sheria au vihusikavyo nchini Tanzania ningekuelewa sana. understand that you are talking about the so called United Republic of Tanzania, where there is no rule of law and the system is "mafia" controlled; do you expect Mengi is so stupid to go and alert the giovernment security organs secretly? Remember that from the TOP man to Takukuru, to the General are all under the pyaroll of the Manjis, and that is their survivor; you know nothing about this country. Mengi knew and knows what he is doing!!

Ningeweza kukujibu na kuchangia zaidi endapo hiyo statement uliyoiweka hapo juu isingekuwepo. Statement yako ime-base kwenye madai zaidi ya fact. Nisingependa kujiingiza kujadili jambo kubwa kama hilo ambalo halina ukweli.
 
, bali walionesha kuwa wao wana busara na hekima zaidi kwa kumwelekeza Mengi ni kipi angefanya katika hilo. Wazee clearly walimtaka Mengi awasilishe ushahidi katika vyombo husika vya sheria, sasa wewe huoni kuwa mbali na kupinga kitendo cha Mengi lakini pia wametoa suluhisho, Mkuu hapa ni vema tukajifunza kupitia kwa hawa wazee ambao mnawaita hawajakwenda shule.

- Hivi wakuu kwa nini hamuwezi kuona the big picture hapa, ni nani anayefikiri Manji alikuwa mjinga kujiingiza kwenye mipira?

- Off course alikua ana-invest for cover kwa time kama hizi sasa huoni kwamba it is paying off tena big time, maana hawa wazee hawana clue ya taifa wao wanachojali ni mpira tu ambao Manji anaufadhili kwa hela zao wenyewe, kumbuka wanasiasa hawawaogopi wananchi wa vijijini kama wa mjini na hawa wazee wa mipira ndio hasa strong political base ya Muungwana, yaani walimchagua bila sababu,

- Hivi kweli mkuu wangu betweeen sisi JF na hawa wazee unafikiri Muungwana atawasikiliza nani kwanza? Jamani mengine ni just a matter of simple sense tu sio lazima kuwa professor kuelewa!

- Mengi ameanzia kwenye jukwaa la siasa, kwa sababu ishu ya ufisadi kwanza inaanzia kwenye siasa and then mwenye shida zaidi aende kwenye sheria, mbona Rostam hakwenda straight kwenye sheria badala yake analilia kuombwa radhi? Mengi Ametuamsha sisi wananchi sasa ni zamu yetu kumsaidia kwa kufunua mafisadi, mjadala hapa hautakiwi kuwa Mengi tena, ila ni nani ndiye na nani siye fisadi, achana na messenger Mengi yeye amemaliza kazi tayari!

Respect.

Wazee wa sauti ya umeme FMES!
 
Gwakisa,
Ahsante kwa mchango wako.
Lakini nadhani you missed a key point katika maelezo ya wazee wa Yanga na endapo ungelikuwa umeirejea katika posting yako hapo juu nafikiri usingewaita kuwa wamekosa hekima.

Katika saga hili la Mengi ni lazima ukubali kuwa kuna upande ambao unaokuwa Mengi alichofanya ni sawasawa na kuna upande mwingine unaona kuwa Mengi hakufanya sawasawa. Na hiii ndiyo point kubwa ya debate hii. Kwa wale wanaona Mengi amekosea wametoa sababu zao.
Wazee wa Yanga na wao wameeleza msimamo wao kuwa Mengi hakufanya sawasawa na wakatoa sababu zao za kimsingi kama ambavyo wote tumezisoma. Lakini wazee wale hawakuishia kueleza sababu zao tu, bali walionesha kuwa wao wana busara na hekima zaidi kwa kumwelekeza Mengi ni kipi angefanya katika hilo. Wazee clearly walimtaka Mengi awasilishe ushahidi katika vyombo husika vya sheria, sasa wewe huoni kuwa mbali na kupinga kitendo cha Mengi lakini pia wametoa suluhisho, Mkuu hapa ni vema tukajifunza kupitia kwa hawa wazee ambao mnawaita hawajakwenda shule.

Mkuu you have disappointed me! Hawa wazee ni sampuli ile ile ya mzee Ndejembi na wazee wastaafu wenzake, bila aibu kuanza kuutetea ufisadi! Hata hawa ni njaa tu, there is nothing you can learn from them. Eti Mengi apeleke ushahidi kwenye vyombo husika. Vyombo gani? TAKUKURU ya Hosea? Mkuu umesahau kuwa system yetu haifanyikazi? Tangu mwaka jana Mkurugenzi wa Mashtaka wa Uingereza kawasilisha makaratasi yote ya kumfunga Chenge na Dk. Idris Rashid wa TANESCO. Hivyo "vyombo husika", mpaka leo havijaamua lolote: Chenge na Rashid wanaendelea kudunda!
 
- Hivi wakuu kwa nini hamuwezi kuona the big picture hapa, ni nani anayefikiri Manji alikuwa mjinga kujiingiza kwenye mipira?

- Off course alikua ana-invest for cover kwa time kama hizi sasa huoni kwamba it is paying off tena big time, maana hawa wazee hawana clue ya taifa wao wanachojali ni mpira tu ambao Manji anaufadhili kwa hela zao wenyewe, kumbuka wanasiasa hawawaogopi wananchi wa vijijini kama wa mjini na hawa wazee wa mipira ndio hasa strong political base ya Muungwana, yaani walimchagua bila sababu,

- Hivi kweli mkuu wangu betweeen sisi JF na hawa wazee unafikiri Muungwana atawasikiliza nani kwanza? Jamani mengine ni just a matter of simple sense tu sio lazima kuwa professor kuelewa!

- Mengi ameanzia kwenye jukwaa la siasa, kwa sababu ishu ya ufisadi kwanza inaanzia kwenye siasa and then mwenye shida zaidi aende kwenye sheria, mbona Rostam hakwenda straight kwenye sheria badala yake analilia kuombwa radhi? Mengi Ametuamsha sisi wananchi sasa ni zamu yetu kumsaidia kwa kufunua mafisadi, mjadala hapa hautakiwi kuwa Mengi tena, ila ni nani ndiye na nani siye fisadi, achana na messenger Mengi yeye amemaliza kazi tayari!

Respect.

Wazee wa sauti ya umeme FMES!

FMES,
I think you can smell my stand on this issue, if not I am against Mengi kuendelea kukalia ushahidi muhimu katika vita dhidi ya mafisadi. na ndiyo sababu ninasema kuwa he's not right kuwataja watu kuwa ni mafisadi bila ya kuwasilisha ushahidi wake. Kwa mantiki hiyo basi nimeungana na wale wengine wote ambao tumekuwa tukisisitiza including wale wazee wa Jangwani kwa sababu na wenyewe wana-demand ushahidi utolewe na Mengi. Such a reasoning haihitaji kwenda mbali kwani hivyo vielelezo ni kwa ajili ya manufaa yetu sote, kwahiyo Mengi asivikalie kwani huo ushahidi si mali yake.
Hili swala la Manji kwenda Yanga kuifadhili si yeye wa kwanza wengi wamekuwepo, walikuwepo akina Shirazi, Gulamani, Hassanali, Mengi nk, sasa kama hao wote walikuwa wanafanya hivyo kama kwa sababu ulizozitoa mimi sijui, itabidi tuwaulize wenyewe , lakini sitaweza kuwasemea.
 
Gwakisa,
Ahsante kwa mchango wako.
Lakini nadhani you missed a key point katika maelezo ya wazee wa Yanga na endapo ungelikuwa umeirejea katika posting yako hapo juu nafikiri usingewaita kuwa wamekosa hekima.

Katika saga hili la Mengi ni lazima ukubali kuwa kuna upande ambao unaokuwa Mengi alichofanya ni sawasawa na kuna upande mwingine unaona kuwa Mengi hakufanya sawasawa. Na hiii ndiyo point kubwa ya debate hii. Kwa wale wanaona Mengi amekosea wametoa sababu zao.
Wazee wa Yanga na wao wameeleza msimamo wao kuwa Mengi hakufanya sawasawa na wakatoa sababu zao za kimsingi kama ambavyo wote tumezisoma. Lakini wazee wale hawakuishia kueleza sababu zao tu, bali walionesha kuwa wao wana busara na hekima zaidi kwa kumwelekeza Mengi ni kipi angefanya katika hilo. Wazee clearly walimtaka Mengi awasilishe ushahidi katika vyombo husika vya sheria, sasa wewe huoni kuwa mbali na kupinga kitendo cha Mengi lakini pia wametoa suluhisho, Mkuu hapa ni vema tukajifunza kupitia kwa hawa wazee ambao mnawaita hawajakwenda shule.

Mkuu Pundamilia, Mengi amefanya zaidi kwa kuwataja hawa mafisadi na kwa kufanya hivyo wale nyoka waliopewa fedha na mafisadi wameanza kujitokeza hadharani, akiwemo waziri wa serikali iliyomo madarakani.
Siasa haina mahakama na ndio maana leo huko Madagascar DJ kakamata nchi.
Sentiments za watu nimuhimu sana katika siasa za kila siku.Ukingojea mahakama ikuamulie wimbi la discontent basi hiyo si siasa ni kitu kingine,
Hawa wazee wamejidhalilisha sana mbele ya jamii.
Hawana kazi maalum, kipato chao ni Yanga, mungu wao ni yule mtu anayewapa mkate wa kila siku. na Manji katokeza kuchukua nafasi hiyo.
Kama tunahitaji mahakama kutia mihuri yao kuidhinisha uhakiki wa wizi Nssf wa pesa za wafanya kazi ,uliofanywa na Manji,basi Pundamilia you are being naive.
 
Hii nchi bora tuchapane kidogo nadhani heshima itarejea. Upuuzi umezidi kila kona.

Hahahhahah, Hata mimi nafikiri solution ni hiyo, kwani baada ya kuchapana hakutakuwa na wajinga wa kuwafanya watanzania zezeta, na kuchukua kila wanachotaka na kuwageuza ombaomba na kuwalipa tena 0.000001% ya walichowaibia ili wawe watetezi wao!!! VERY PAINFUL !!!!!

Burundi la Rwanda hakutakuwa tena na wajinga jinga kama hawa mafisadi kwani wameshaonja joto ya jiwe. Na watapiga hatua kali wakituacha tunashangaa shanagaa hapa na mifisadi yetu.
 
FMES,
I think you can smell my stand on this issue, if not I am against Mengi kuendelea kukalia ushahidi muhimu katika vita dhidi ya mafisadi. na ndiyo sababu ninasema kuwa he's not right kuwataja watu kuwa ni mafisadi bila ya kuwasilisha ushahidi wake. Kwa mantiki hiyo basi nimeungana na wale wengine wote ambao tumekuwa tukisisitiza including wale wazee wa Jangwani kwa sababu na wenyewe wana-demand ushahidi utolewe na Mengi. Such a reasoning haihitaji kwenda mbali kwani hivyo vielelezo ni kwa ajili ya manufaa yetu sote, kwahiyo Mengi asivikalie kwani huo ushahidi si mali yake.
Hili swala la Manji kwenda Yanga kuifadhili si yeye wa kwanza wengi wamekuwepo, walikuwepo akina Shirazi, Gulamani, Hassanali, Mengi nk, sasa kama hao wote walikuwa wanafanya hivyo kama kwa sababu ulizozitoa mimi sijui, itabidi tuwaulize wenyewe , lakini sitaweza kuwasemea.

Mkuu Punda,

- Ninaiona hoja yako, lakini bado ni too premature kwa Mengi kutoa ushahidi kwenye majukwaa ya siasa, chanzo cha tatizo ni Makamba kwenda CC kudai Mengi athibitiwe, safi sasa Makamba angetoa ushahidi kule CC wa ufisadi wa Mengi ili athibitiwe, he never did na kama kuna mwananchi yoyote mwenye tatizo basi angejitokeza hapa na kudai Makamba atoe ushaidi, hakuna aliyejitokeza!

- Mengi aliposikia, kwa ujasiri mkubwa sana akasimama na kumjibu not only Makamba, but straight to waliomtuma Makamba that is the deal yaani akapeleka vita right back in their faces, sasa wale wale waliomtuma Makamba bila ushahidi dhidi ya Mengi, wamegeuka wanawatumia hawa wazee kudai Mengi atoe ushahidi, wao mbona hawakutoa ushahidi mwanzoni walipomtuma Makamba kule CC?

- Mengi hata akiwa na ushahidi hawezi kuutoa kwa majukwa ya siasa maana hagombei anything, lakini anaweza kuutoa mbele ya sheria, iwapo ataombwa na aliowataja kua ni mafisadi kwa sababu ni absolutely illogicall kuamini kwamba a man of Mengi calliber anaweza kwenda public na serious ufisadi's accusations bila ushahidi, sasa this so called wazee wa Yanga wana haki zote duniani kuwahi mahakamani na kumtaka Mengi kisheria atoe ushahidi dhidi ya mfadhili wao, ama sivyo amlipe fidia, lakini hawawezi kumdai Mengi ushahidi kwenye majukwaa ya siasa kwa sababu hata wao wameshindwa kutoa ushahidi kule CC walikomtuma Makamba,

Kuwa-entertain hawa wazee ni kujaribu kuondoa hii ishu kutoka kwenye sheria ambako inatakiwa iwe sasa na badala yake kuirudisha tena kwenye siasa, wananchi tunatakiwa tukatae hili kwa nguvu zote, part ya politics katika hii ishu imeshapita, sasa ni sheria tu until then hakuna wa kumlaumu mwingine ila kusubiri ushahidi wa ksiheria mahakamani, ni mafisadi ndio wanaotakiwa kutangulia kwenye sheria sasa kumdai Mengi ushahidi!

FMES
 
Ahsante sana kwa hoja zako.

Please enlighten me on this CC-Makamba issue uliyoitaja hapo juu, ni kwa vipi issue ya Makamba alikuwa anataka uthibiti wa Mengi hasa kutoka kwenye CC?

Hebu nipe opinion yako kwenye hili lifuatalo,
Ingekuwa vipi au kingetokea nini iwapo mtanzania wa kawaida tu kama ndugu yangu Kalimanzila au Kalubandike ndiye angekuwa ameitisha press conference na kufanya kama alivyofanya Mengi?

Hili swali langu la mwisho nikutaka kupata a stand endapo mtanzania wa kawaida angechukuliwaje mbele ya vyombo vya dola?
 
Pundamilia, nimesoma posts zako zote ila sijakuelewa na sina hakika unajribu kutetea nini. Suala hapa ni kuwa kuna mafisadi papa na Mengi amesaidia kuufahamisha umma. Je aliowataja kawaonea? Naamini kila mtu anakubaliana na hili kwamba hawa jamaa ni mapapa kweli kweli.
Mengi ni mtu mwenye hadhi ya juu na anaheshimika sana kwenye nchi hii. Mimi siyo mwanahabari ila akili ya kawaida tu inanifanya nielewe kuwa huwezi kutenganisha ukubwa wa habari na mtoa habari. Kwa hiyo "big people can make small news big! Kama ni hivyo mimi na wewe tukijitokeza kesho pale maelezo na kuwataja mapapa tutasikilizwa lakini haitapata nafasi ya kuingizwa kwenye jamii kwa uzito kama ule utakaotolewa kwa habari hiyo au ndogo zaidi ya hiyo endapo itatolewa na Mengi. Na katika hali kama hiyo mapapa hawatahangaika kufuatilia au kujibu kwa sababu naweza kuitwa kichaa na watu wakaamini. Ila leo ukimwita Mengi kichaa watu hawawezi kukuamini kwa sababu wanamfahamu na mambo yake yanajulikana!

Nimesema huko nyuma, na narudia kusema (pia wachangiaji wengi kama vile FMES n.k wameshasema) hili ni suala la kupambana na ufisadi na hoja yetu inatakiwa kutoa mawazo ya nini kifanyike baada ya hapa. Mengi ametaja kama alivyofanya Slaa na ambavyo tumekuwa tukifanya humu JF. Tofauti ni kuwa ujumbe wa Mengi umewafikia wananchi wengi. Tunatakiwa sasa kuibana serikali ichukue hatua kwa kuwa visingizio vya kukosa ushahidi havipo tena. Na kama Mengi amewakosea hao mapapa, ni jukumu lao kwenda kudai haki yao (na Pinda ametoa ushauri huo pia). Hilo halituhusu sana kwa sasa. Kwa sasa tunalilia mali zetu zinazoibiwa mchana kweupe. Kwa hiyo ni busara kwanza kuyapa nguvu mapambo haya na kama kuna watu wamekosea (Kama anavyomsema Mengi) washughulikiwe baadaye au wakati sisi tunasonga mbele. Inasikitisha kuona baadhi ya Watanzania wenzetu humu JF na kwenye jamii wanatetea mafisadi. Tunatakiwa kuchukua msimamo kama ule aliokuwa nao Mkapa baada ya kuchaguliwa 1995 (ingawa aliutelekeza) kuwa mara tu mtu akitajwa kuwa ni mla rushwa (fisadi) anashughulikiwa kisawa sawa. Baada ya hapo ndiyo tunaanza mambo ya hadithi na siasa. Kuanza na siasa na hadithi ndilo tatizo linalokwamisha hii vita. Jipambanue vizuri basi tuelewe uko wapi, unawatetea mapapa au mali ya nchi yako?
 
DarkCity,
Nadhani kuna mambo mawili hapa ambayo hukuyazingatia,

Kwanza, hiyo posting yangu hapo juu ilikuwa inakwenda na mtitiriko ambao tulikuwa na badilishana na FMES, na ndiyo maana umeona nimem-address yeye pale juu. Kujibu kwako naona hakukuwa na ulazima sana labda ungekuwa umejiridhisha na postings zilizotangulia za FMES na za kwangu then ungeleta mtiririko mzuri.

Pili, hapa jamvini hali ya kujenga hoja huimarika pale ambapo tunakuwa na migongano ya mawazo. Hizi cheche unazoziona ni kwa sababu tu kuna hasi na chanya, vinginevyo kama wote tunakuwa na mawazo sawa basi hiyo itakuwa ni miujiza. Swala hapa si kumtetea mtu bali ni kujenga hoja yangu kwa vile ambavyo ninatofautiana na wengine katika thread hii. Ninachotofautiana hapa na FMES au wewe si lazima nitofautiane nanyi kwenye thread nyingine. Sioni mantiki ya wewe kunitaka nikubaliane na mawazo yako bila ya kujenga hoja nzito na ya kunishawishi kufanya hivyo. Kamwe hata mimi pia siwezi kufanya hivyo kwako.

Mimi msimamo wangu ni kuwa katika sakata hili ninamtaka Mengi awasilishe ushahidi na vielelezo alivyonavyo ambavyo vitatusaidia sisi watanzania wote kuweza kuwafikisha mbele ya mkono wa sheria wale anao watuhumu kuwa ni mafisadi. Again, kila mtu hana hatia hadi pale anapopatikana na hatia. Endapo nitakutuhumu kuwa wewe ni mwizi basi ni lazima nioneshe na ushahidi usio kuwa na shaka dhidi ya madai yangu.
Hakuna haki isiyoendana na wajibu.
 
Nakubaliana na wewe kwenye baadhi ya mambo na pia kwenye umuhimu wa kuwa na mawazo tofauti ili tuwe na mjadala. Hata hivyo sikuelewi kwenye hili suala la kutaka Mengi alete uthibitisho. Aulete kwa nani? Na mbona yeye keshasema yuko tayari kusimama kizimbani. Huko si ndiyo uthibitisho unatakiwa? Au wewe unataka auweke wazi sasa ili mafisadi wajipange vizuri kuupangua?

Watu wengi wameshasema na kueleza vizuri tu, nani ana jukumu la kupeleka kesi za jinai mahakami, ambaye ni serikali. Na kama serikali haitaki, basi sisi (na Mengi akiwemo) tuna wajibu wa kuishitaki hiyo serikali kwa wananchi. Na hicho ndicho kinachofanyika sasa. Kwa hao waliotuhumiwa, mambo yako wazi, waende mahakamani. Mengi hana sababu yoyote ya msingi ya kwenda mahakani kuwashitaki mapapa ila yuko tayari kuisadia nchi yake. Kwa nini tunamlaumu kwa hili?
 
mimi napenda kuuliza hivi hawa wazee wanajua kusoma na kuandika kweli,inaonyesha jinsi gani upeo wao ulivyo mdogo kufikiri, waha kweli ni watumwa wa grade ya chini, nafikiri sasa imefikia wakati tuchapane kama kenya kwa muda wa miezi 2 heshima ya taifa letu itarudi
 
Ningeweza kukujibu na kuchangia zaidi endapo hiyo statement uliyoiweka hapo juu isingekuwepo. Statement yako ime-base kwenye madai zaidi ya fact. Nisingependa kujiingiza kujadili jambo kubwa kama hilo ambalo halina ukweli.
Punda,
Statement ina-matatizo gani? Mafia? Mafia = Mtandao! Kwani wewe hujui kuwa Mtandao kwa jina lingine tunaita Mafia? our system is "mtandao" controlled!
 
Hawa wazee bure kabisa ! Kuna siku nilienda kutembelea ofisi za wanajangwani pale, nikakuta vizee vimevaa Bagarashia, kanzu na malapa chini vinakunywa kahawa na kucheza bao! Nikauliza inakuwaje hawa hawana kazi? Nikaambiwa hawa ndo wenye Yanga, huwezi fanya chochote bila hawa hapo wanamsubiri Manji aje kuwapa posho...wanaishi kwa kutegemea fadhila za wafadhiri...sasa usitegemee kama wanatumia ubongo kufikiri zaidi ya matumbo yao!
 
Nakubaliana na wewe kwenye baadhi ya mambo na pia kwenye umuhimu wa kuwa na mawazo tofauti ili tuwe na mjadala. Hata hivyo sikuelewi kwenye hili suala la kutaka Mengi alete uthibitisho. Aulete kwa nani? Na mbona yeye keshasema yuko tayari kusimama kizimbani. Huko si ndiyo uthibitisho unatakiwa? Au wewe unataka auweke wazi sasa ili mafisadi wajipange vizuri kuupangua?

Watu wengi wameshasema na kueleza vizuri tu, nani ana jukumu la kupeleka kesi za jinai mahakami, ambaye ni serikali. Na kama serikali haitaki, basi sisi (na Mengi akiwemo) tuna wajibu wa kuishitaki hiyo serikali kwa wananchi. Na hicho ndicho kinachofanyika sasa. Kwa hao waliotuhumiwa, mambo yako wazi, waende mahakamani. Mengi hana sababu yoyote ya msingi ya kwenda mahakani kuwashitaki mapapa ila yuko tayari kuisadia nchi yake. Kwa nini tunamlaumu kwa hili?

Nakubaliana na wewe 100%, huyo pundamilia ana mambo yake kwani tangu jana watu wamemweleza ukweli kuwa bila Mengi and IPPmedia ( Kulikoni & Thisday hat hii hoya hapa hatungekuwa nayo kwani haingekuwepo kabisa, maana swala la mafisadi tumelijua baada ya vyombo vya habari vya IPP kueleza huku vyombo vi ngingine vya mafisadi vilivyonunuliwa vikiwa vinasita kusema, So if you Pundamilia or ngamia you don't understand this, Automatically we will put you into the same group of beneficiaries of Mafisadi!! unless you clear your selfl here at JF.
 
FMES,
Ahsante sana kwa hoja zako.

Please enlighten me on this CC-Makamba issue uliyoitaja hapo juu, ni kwa vipi issue ya Makamba alikuwa anataka uthibiti wa Mengi hasa kutoka kwenye CC?

Hebu nipe opinion yako kwenye hili lifuatalo,
Ingekuwa vipi au kingetokea nini iwapo mtanzania wa kawaida tu kama ndugu yangu Kalimanzila au Kalubandike ndiye angekuwa ameitisha press conference na kufanya kama alivyofanya Mengi?

Hili swali langu la mwisho nikutaka kupata a stand endapo mtanzania wa kawaida angechukuliwaje mbele ya vyombo vya dola?

- Ukisoma article ya Raia Mwema, utaikuta hii habari jinsi Makamba alipeleka hoja ya kutaka Mengi na viongozi wanaomfuasi wathibitiwe na CCM kwa kukigawa chama, ndio chanzo cha Mengi kujibu mapigo kwa kuwataja waliomtuma Makamba, kule CC.

- Depending na how much evidence you have against unaowatuhumu, ndio maana tuna vyama vya siasa ambako unaweza kwenda kupeleka usahidi wako na wakakusaidia kukupa platform ya kuongelea, this is politics vyombo vya dola haviwezi kunyamazisha sauti ya mwananchi yoyote wa kawaida kama ana ukweli, lakini lazima upitie kwenye ngazi zote zinazohusika, kwanza majukwaa ya siasa, then kwenye sheria otherwise inakuwa ni waste of our time yaani wananchi.

- Sasa ni zamu ya mafisadi kumpeleka Mengi kwenye sheria, ili atoe ushahidi wake ambao ninaamini kwa 100% kwamba anao, yaani this should not even be an ishu, lakini Mengi hawezi kuanza kwenda kwenye majukwa na kuanza kutoa ushahidi ili ufanye nini? Ushahidi hutolewa mahakamani, na ni seriakali ndio yenye dhamana ya kumfungulia mwananchi au kiongozi mashitaka, sio Mengi,

- Sasa kwa maoni yangu hawa wazee wa Yanga wangekua na hoja kama wangeishinikiza serikali, kupata ushahidi kutoka kwa Mengi na kumfungulia mashitaka Manji, lakini sio kumlaani Mengi kwa kuwasema mafisadi hadharani na kudai ushahidi hivi hawa mazee wa Yanga kweli wanaweza hata kuuchambua ushahidi wa kisheria hawa?

This is a none ishu mkuu, hawa wazee wasubiri mechi ya Yanga na Simba, lakini haya ya siasa na sheria wawaaachie wanaohusika tu!

Thanxs!

FMES!
 
Back
Top Bottom