Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Kila nikikaa na kufikiria jinsi Dunia ilivyopiga hatua kwenye sayansi na Teknolojia huwa nafikiria maisha ya wazee wetu wa zamani embu fikiria Dunia bila mitandao ya kijamii WhatsApp ,insta au Google.
Fikiria Dunia bila SIM banking hizi za Tigo pesa , M pesa , Zamani ilikuwa ukikwama ki fedha hakuna cha ndugu wala rafiki kukutumia pesa kwa simu , ukikwama unapambana na hali yako . Mawasiliano yalikuwa ni kwa njia ya barua na yaweza kuchukua hata mwezi mpaka ujibiwe . Kwakweli wazee nawapa kongole mmetoka mbali na Dunia.