Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Pamoja sana bibi yanguAsante mjukuu wangu
Watoto wa 2000 hawaelewiSasahivi maisha mepesi malalamiko kibao.
Mimi babu.Pamoja sana bibi yangu
Sawa natengua kauliMimi babu.
Wazee wa zamani!!!!!?Kila nikikaa na kufikiria jinsi Dunia ilivyopiga hatua kwenye sayansi na Teknolojia huwa nafikiria maisha ya wazee wetu wa zamani embu fikiria Dunia bila mitandao ya kijamii WhatsApp ,insta au Google...
Hao walikuwa majembe sanaWapo walio tusua hivo hivo
Maisha yap magumu nyie sio kwel zamani kwanza chakula uhakika,Kila nikikaa na kufikiria jinsi Dunia ilivyopiga hatua kwenye sayansi na Teknolojia huwa nafikiria maisha ya wazee wetu wa zamani embu fikiria Dunia bila mitandao ya kijamii WhatsApp ,insta au Google.
Fikiria Dunia bila SIM banking hizi za Tigo pesa , M pesa , Zamani ilikuwa ukikwama ki fedha hakuna cha ndugu wala rafiki kukutumia pesa kwa simu , ukikwama unapambana na hali yako . Mawasiliano yalikuwa ni kwa njia ya barua na yaweza kuchukua hata mwezi mpaka ujibiwe . Kwakweli wazee nawapa kongole mmetoka mbali na Dunia.
Well said...Maisha ni haya haya tuu. Mtu hakuwa na internet wala simu ila alikuwa na mbuzi, ngombe kuku miti ya matunda hata kwa jirani anapata bure. Wanyama pori ilikuwa mnakimbiza mnaua tuu mnakula nyama choma na pombe za asili inayobaki mnakausha. Hapakuwa na maradhi kama karne hizi. So maisha ni yale yale ni just mabadiliko ya nyakati tuu.
Nakubaliana na weweZamani maisha yalikuwa simple kuliko sasa,sa hivi risk ni nyingi plus ushindani ni mkubwa na fursa ni chache kutokana na idadi ya watu.
Wazee wazamani walikuwa wanawaza kumiliki ardhi vijiji walivyotokeaAcha ujinga nyie wazee ardhi ilikua bure mkachezea maisha kiufupi mlikua hamjielewi na ushamba pia ulichangia
Ahsante mwanangu,ila nawapa pole nyie wakizazi hiki Binti anakuomba hela na ya kutolea!Kila nikikaa na kufikiria jinsi Dunia ilivyopiga hatua kwenye sayansi na Teknolojia huwa nafikiria maisha ya wazee wetu wa zamani embu fikiria Dunia bila mitandao ya kijamii WhatsApp ,insta au Google.
Fikiria Dunia bila SIM banking hizi za Tigo pesa , M pesa , Zamani ilikuwa ukikwama ki fedha hakuna cha ndugu wala rafiki kukutumia pesa kwa simu , ukikwama unapambana na hali yako . Mawasiliano yalikuwa ni kwa njia ya barua na yaweza kuchukua hata mwezi mpaka ujibiwe . Kwakweli wazee nawapa kongole mmetoka mbali na Dunia.