Wazee wa zamani walikuwa Fighters! Maisha yalikuwa magumu sana

Tunaposema Maisha ni rahisi au magumu,tunaangazia aspects zipi za Maisha? Tunatumia mizania ipi? Tunalinganisha vipindi vyepi na vyepi?

Kwa uelewa wangu,kila zama na kitabu chake. Isiwe hapa tunabishana kutakana na mgongano uliopo wa tangu na tangu wa UKALE na USASA. Inawezekana kijana wa KISASA kafeli halafu anaanza visingizio na kutaka kuwaangushia jumba bovu wa Kale. Au isiwe wazee wetu walifeli wao kama wao halafu wanaanza kuona Leo ndio kitonga.

Yayumnika kwamba kizazi kimoja starti kiwe bora kuliko kizazi kilichopita,ikiwa vice versa basi hapo tunasema Jamii husika ipo kwenye mkwamo.
 
Maisha ya zamani yalikua simple sana mkuu
mwingilino mdogo uliwafanya wawe na minimal desires"kwa hiyo walikuwa na utajiri wa vitu vya muhimu kama chakula hawakuhitaji burger wala chipsi kuku,mawasiliano hayakuwa na umuhimu sana hivo hakuna mahitaji ya Tv,iphones wala bando,ngoma unahudhuria bure na demu unang'oa bure ni umahiri wako wa kucheza au kupiga ngoma,mkuu malazi ni nyumba za miti na nyasi no vigae hapo
In short nature provided what they neede...
 
Mm binafsi mzee wangu anafuraia Maisha ya sasa anataman saiv arudi ujanani it means mambo ya Zaman πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯si haba
 
ASANTE πŸ‘πŸ‘Œ
 
Sasa hivi ushindani ni mkubwa sana
 
Mkuu nakukatalia zanani maisha yalikua rahisi sana ila wazee walikua hawana malengo ya watoto wao walikua awawazi watoto wao miaka 20 mbele wataishije wao walikua wanajua walipo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…