Wazee wa zamani walikuwa na tabia na matendo mabaya na ya ajabu sana

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
558
Reaction score
661
Habari wakuu,hamjambo?

Njlikua na jamaa yangu akinisimulia jambo nikafikiria Sana kuhusu hawa wazee wetu kwa matukio yao Kama ifuatavyo..

Wengine wao walikua na tabia ya kujihusisha kimapenzi na wajukuu,watoto na ndugu wa karibu,kwanini nasema hivyo?

Kuna kijana wa kike mdogo na msumbufu anatatiza watu,nikajaribu kumuuliza jamaa Nini tatizo,akanijibu Babu wa huyo binti Kuna tetesi aliwahi kuhusishwa kimahusiano na mtoto wake huenda hiyo kitu kiroho inamvuruga binti.

Visa Ni vingi sana,hata nikiamua kuweka hapa sitomaliza,swali najiuliza hawa jamaa waliishi maisha gani???

Kizazi Chao na kilichopo Sasa si Bora iki? Kwa upande mwingine ukikutana nao katika maongezi wanaonesha wao Ni boa kuliko Sasa.

Najiuliza ubora wao ulikua kwalipi?
 
Hapakuaga na watu wengi nyakati hizo, hata tukifatilia uzao wa binadamu ulijaa vipi Duniani tutakuta watu walilala na ndugu wa damu kabisa, japo kwa mababu Kuna tamaa iliyo tokana na uchache wa watu
 
Mzee paul mjukuu wake wa kidato cha nne anagawa mbususu kama pipi huwa najiuliza huyu mtoto ana matatizo gani?.....kumbe.......
 
Back
Top Bottom