Wazee waliojitolea kuchangia kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Asante sana kwa darsa zuri sana maana hata sikujua kuwa wanaume wengi walichangia kuliko wanawake. Itakuwa vyema ukituambia ni makabila gani yalichanga zaidi ili nao tuwape maua yao.

Amandla...
Safi sana jibu murua, na atuambie kundi gani lilichangia zaidi
1. vijana, wazee ama watu wa makamo.
2. Wafanyabishara, wakulima, majobless ama wafanyakazi
3. Weupe, weusi ama maji ya kunde
4. Maamuma ama wasomi?
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni chuo kikuu kikongwe na kikubwa nchini Tanzania. Kilianzishwa mwaka 1961 kama tawi la Chuo cha Chuo Kikuu cha London kwenye jengo la ushirika mtaa wa lumumba, na mwaka 1963 kilikuwa sehemu ya Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki (University of East Africa) kilichojumuisha vyuo vikuu vya Makerere (Uganda) na Nairobi (Kenya).

Mnamo mwaka 1970, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilijitegemea na kuwa chuo kikuu kamili kwa jina la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mlimani maeneo ya Ubungo . Tangu wakati huo, UDSM imeendelea kukua na kuimarika, ikitoa programu mbalimbali za shahada za kwanza na za juu katika nyanja mbalimbali za kitaaluma. Pia imejulikana kwa mchango wake mkubwa katika tafiti na maendeleo ya elimu nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.
 
Haya ni myopic ideas, kule Morogoro alisikika Sheikh redioni akisema waislam ndiyo walipakodi namba one nchini kwakuwa mabasi yote na malori yote marefu yanamilikiwa na wao
Halafu kile chuo cha kiislamu Morogoro kina majungu hatari hadi maprofessor waislamu hawataki kwenda kufundisha pale na watoto wa hao matajiri waislamu hupelekwa vyuo vikuu vingine visivyo vya kiislamu hawakiamini ubora wake
 
Wewe upo sahihi sn
 
Na chuo kikuu kilianzia mñazi mmoja pale kwenye jengo la sukita baada ya jengo la ushirika kama unaenda clock tower kwa sasa kuna azania bank pale chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…