Wazee waliojitolea kuchangia kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Wazee waliojitolea kuchangia kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Badala ya kufurahia zaidi umeniliza chozi kwa kuliona jina la babu yangu mzaa baba ,kibaya alikufa kapuku kumbe alikuwa bize kuweka hela kwenye mambo yasiyomuhusu

Ngoja nife tutakutana huko huko atanieleza kinagaubaga huu ujinga wake .

Ahsante kwa taarifa Kaka
Kuna siku mjukuu wako atapita atakutana na hii comment nae atalaumu Babu badala atafute pesa kumbe yuko bize JF.

Karma sio demu wa kuoa. Karma is a bitch.
 
Kumbe former VC Nicholas Kuhanga alikua mwanzilishi. Kuhanga alikua VC wangu kabla ya kupumzishwa na kuletwa Prof Mmari, the best VC the university has ever had.
 
Kuna siku mjukuu wako atapita atakutana na hii comment nae atalaumu Babu badala atafute pesa kumbe yuko bize JF.

Karma sio demu wa kuoa. Karma is a bitch.
Kikubwa atakuta Mali za urithi kuhusu komenti ataona jinsi nilivyokuwa kichwa tukuka hasa mwenye mawazo ya mlengo endelevu .
 
Uko sahihi na kilianza pale na fani moja tu ya Faculty of law na wanafunzi 14 wa kwanza walikuwa akina Samuel Sitta aliyekuwa spika wa bunge ,Andrew Chenge aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikaki.na waziri ,Joseph Sinde Warioba,Proffessor Mgonho Fimbo nk
Nina wasiwasi hao siyo first intake ya udsm.
 
Back
Top Bottom