Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Wakat mwingine huwanashangaa mtu unaanzaje kuwaza ujinga wa namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi na kilianza pale na fani moja tu ya Faculty of law na wanafunzi 14 wa kwanza walikuwa akina Samuel Sitta aliyekuwa spika wa bunge ,Andrew Chenge aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikaki.na waziri ,Joseph Sinde Warioba,Proffessor Mgonho Fimbo nkNa chuo kikuu kilianzia mñazi mmoja pale kwenye jengo la sukita baada ya jengo la ushirika kama unaenda clock tower kwa sasa kuna azania bank pale chini
Peter BakilanaUko sahihi na kilianza pale na fani moja tu ya Faculty of law na wanafunzi wa kwanza walikuwa akina Samuel Sitta aliyekuwa spika wa bunge ,Andrew Chenge aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikaki.na waziri nk
Utaenda UDSM bila qualifications Maalim?sasa hivi muislam kuwa UDSM inakuwa nongwa.
Wakristo sisi huangalia tu uwezo WA mtu sio dini yake lakini kama waislamu mnataka labda mtu achaguliwe Kwa dini yake karibuni wakristo tuko wengi kuliko waislamu walioko Zanzibawa Tanzania msahau kama uchaguzi utakuwa hurusasa hivi muislam kuwa UDSM inakuwa nongwa.
Weka link ya source ya hii taarifa
Nyie watu hamsomi wala kuperuz kwa manufaa ya vichwa vyenu.Tatizo link reliable ya hiyo source hajaweka
Mtu aweza ibuka tu kujitungia vitu vyake kwa mmlengo wake wenye nia ovu
Kama umesema kweli basi babu yako aliona mbali mika 1000 mbele.Badala ya kufurahia zaidi umeniliza chozi kwa kuliona jina la babu yangu mzaa baba ,kibaya alikufa kapuku kumbe alikuwa bize kuweka hela kwenye mambo yasiyomuhusu
Ngoja nife tutakutana huko huko atanieleza kinagaubaga huu ujinga wake .
Ahsante kwa taarifa Kaka
Bro Sasa hiki unachofanya ni kuingilia mambo ya ukoo na familia .Kama umesema kweli basi babu yako aliona mbali mika 1000 mbele.
Na historia kama sasa inamkumbuka na kumuenzi.
Mjinga ni asiyejua, now you know.Ila wenye akili kubwa unawajua. Hawakuwa hao wengi!
Mada zingine za kijinga sana!!
Shida ni kuwa unaweza kutafsiriwa kama una maanisha kuwa alikianzisha kwa sababu ya dini yake. Hii inaweza kutumiwa kujenga kujenga hoja kuwa angekuwa wa dini nyingine, asingeweza kufanikiwa. Lakini mada hii inahusu watu na sio mtu. Nayo inaweza kutafsiriwa kuwa watu wa dini nyingine hawakutaka kuchangia uanzishwaji wa Chuo Kikuu. Swali litakalofuata hapa ni kwa nini wengi waliofaidika na chuo hicho ni wa dini tofauti na uislamu? Hapo lazima kuna hujma ilifanyika na lazima waislamu wapewe upendeleo kwa sababu bila babu zao kisingekuwepo!Mkuu kwani kitu kikianzishwa na mtu wa dini fulani kwani kuna shida gani?
Chuo hicho ni cha watanzania ,wote wenye sifa ya kusoma apo , mambo yakutaja watanzania kulingana na dini ,au makabila yao ni ushamba wa hali ya juu, vigezo vya kujiunga na chuo hicho vipo wazi kwa kila mtanzania .Shida ni kuwa unaweza kutafsiriwa kama una maanisha kuwa alikianzisha kwa sababu ya dini yake. Hii inaweza kutumiwa kujenga kujenga hoja kuwa angekuwa wa dini nyingine, asingeweza kufanikiwa. Lakini mada hii inahusu watu na sio mtu. Nayo inaweza kutafsiriwa kuwa watu wa dini nyingine hawakutaka kuchangia uanzishwaji wa Chuo Kikuu. Swali litakalofuata hapa ni kwa nini wengi waliofaidika na chuo hicho ni wa dini tofauti na uislamu? Hapo lazima kuna hujma ilifanyika na lazima waislamu wapewe upendeleo kwa sababu bila babu zao kisingekuwepo!
Amandla...
Nia ovu kwa kutaja waliochangia? Mbona dezo? Tumia zako pia kutafuta source!Tatizo link reliable ya hiyo source hajaweka
Mtu aweza ibuka tu kujitungia vitu vyake kwa mmlengo wake wenye nia ovu
Tuanze na wewe mbulula idiot, Unaenda kuokoteza upupu mtandaoni,The University of Dar es Salaam (UDSM) started in 1961 as a College of the University of London. In 1963 it became a Constituent College of the University of East Africa. It was formerly established in August 1970, as a National University, through the University of Dar es Salaam Act number 12 of 1970. It was established with three main objectives, namely:
In 1961, the University started with the Faculty of Law. It expanded over the years with the establishment of the numerous faculties and institutes. It established a number of colleges, some of which were later evolved into independent fully-fledged universities.
- To transmit knowledge as a basis of action, from one generation to another;
- To act as a centre for advancing frontiers of knowledge through scientific research; and
- To meet the high level human resource needs of the Tanzanian society.
In 1963, a School of Medicine was established within the premises of the then Princess Margaret Hospital. In 1968 the School became a Faculty of Medicine of the University College of Dar es Salaam, a constituent college of the University of East Africa. With the creation of the University of Dar es Salaam in 1970, the Faculty became the Faculty of Medicine of the University of Dar es Salaam. In July 1991 the Faculty of Medicine was upgraded into a constituent college of the University of Dar es Salaam - the Muhimbili University College of Health Sciences (MUCHS). The umbrella act for universities – The Universities Act number 7 of 2005 paved the way in 2007 for the elevation of MUCHS into a full-fledged university - the Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS).
The University of Dar es Salaam Act number 12 of 1970 provided an enabling setting in 1996 for the transformation of former Ardhi Institute into a constituent college of the University of Dar es Salaam under the name the University College of Lands and Architectural Studies (UCLAS). Over a decade UCLAS was nurtured and its programs and infrastructureexpanded. The umbrella act for universities – The Universities Act number 7 of 2005 paved the way in 2007 for the elevation of UCLAS into an independent institution - theArdhi University (ARU).
Further developments have been witnessed with the establishment of two new Constituent Colleges, namely the Dar es Salaam University College of Education (DUCE) and the Mkwawa University College of Education (MUCE).
DUCE was established in September 2005 by upgrading the former Dar es Salaam Teachers College. It admitted its first batch of students in the academic year 2005/06.
MUCE was established by upgrading the former Mkwawa High School. The College started admitting students in the academic year 2006/07.
The two Colleges focus on the training of teachers for secondary schools in response to the needs of the Primary Education Development Programme (PEDP) and Secondary Education Development Programme (SEDP).
Mngese mbuzi wewe, tuweke ligi mimi na wewe mchambia mgunziWaislamu kila siku mnawaza udini tu . Lakini hata tukiwachambua huko huko kwenye udini wenu bado mnaonekana ni wajinga .