Wazee waliojitolea kuchangia kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Na chuo kikuu kilianzia mΓ±azi mmoja pale kwenye jengo la sukita baada ya jengo la ushirika kama unaenda clock tower kwa sasa kuna azania bank pale chini
Uko sahihi na kilianza pale na fani moja tu ya Faculty of law na wanafunzi 14 wa kwanza walikuwa akina Samuel Sitta aliyekuwa spika wa bunge ,Andrew Chenge aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikaki.na waziri ,Joseph Sinde Warioba,Proffessor Mgonho Fimbo nk
 
sasa hivi muislam kuwa UDSM inakuwa nongwa.
Wakristo sisi huangalia tu uwezo WA mtu sio dini yake lakini kama waislamu mnataka labda mtu achaguliwe Kwa dini yake karibuni wakristo tuko wengi kuliko waislamu walioko Zanzibawa Tanzania msahau kama uchaguzi utakuwa huru

Wabunge wengi waislamu wanatoka majimbo yenye wakristo wengi kuliko waislamu

Nenda Morogoro uone majimbo yake nenda kanda ya ziwa huko akina kishimba,Bashe,Tabasamu,Kigwangala nenda Arusha Mrisho Gambo ,Nenda kinondoni yuko Abbas Tarimba wote wabunge toka majimbo yenye wakristo wengi mno kushinda waislamu ila hupewa kwa uwezo wao sio kanzu na vibaraghashia na kujua kutiririka aya za kuruani na kuimba kaswida

Ubaguzi mnao nyie waislamu
 
Badala ya kufurahia zaidi umeniliza chozi kwa kuliona jina la babu yangu mzaa baba ,kibaya alikufa kapuku kumbe alikuwa bize kuweka hela kwenye mambo yasiyomuhusu

Ngoja nife tutakutana huko huko atanieleza kinagaubaga huu ujinga wake .

Ahsante kwa taarifa Kaka
 
Kama umesema kweli basi babu yako aliona mbali mika 1000 mbele.
Na historia kama sasa inamkumbuka na kumuenzi.
 
Kama umesema kweli basi babu yako aliona mbali mika 1000 mbele.
Na historia kama sasa inamkumbuka na kumuenzi.
Bro Sasa hiki unachofanya ni kuingilia mambo ya ukoo na familia .
Mimi sijapenda kabisa na hapa lazima niscreenshoot niwatumie Wana ukoo ili waone mtu tuliyekuwa tunapigania uhai wake kwa gharama nyingi kumbe hela zake aliihonga serikali za kikoloni
 
Hao baadhi ya waliochangia...
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
wazo liliwasilishwa na katibu mkuu wa TANU wakati ule Mzee Amos Kesenge.. β€œpeople of Tanganyika are the ones with thirst and hunger for education. Education is the key in the development of people’s life in this country and for a better national development there should be people with education, knowledge and wisdom”. .Kulifanyika pia bonanza la mpira wa miguu na kiingilio pia kama chanzo cha mapato.Watu wengi walishiriki katika mchango huo..πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mkuu kwani kitu kikianzishwa na mtu wa dini fulani kwani kuna shida gani?
Shida ni kuwa unaweza kutafsiriwa kama una maanisha kuwa alikianzisha kwa sababu ya dini yake. Hii inaweza kutumiwa kujenga kujenga hoja kuwa angekuwa wa dini nyingine, asingeweza kufanikiwa. Lakini mada hii inahusu watu na sio mtu. Nayo inaweza kutafsiriwa kuwa watu wa dini nyingine hawakutaka kuchangia uanzishwaji wa Chuo Kikuu. Swali litakalofuata hapa ni kwa nini wengi waliofaidika na chuo hicho ni wa dini tofauti na uislamu? Hapo lazima kuna hujma ilifanyika na lazima waislamu wapewe upendeleo kwa sababu bila babu zao kisingekuwepo!

Amandla...
 
Siwezi kushangaa kwa hili maana dar na viunga vyake wakati huo vilizungukwa na wao ambao wengi wao walipenda umwinyi uliosababisha makabila mengi yenye kutafuta maendeleo kuja mjini na kuwahamisha mmoja baada ya mwingine.

Ukishapita hii njia ya mtwara hadi rufiji huko hawa watu wapo sana na utamaduni wao hawajaacha ni vibe la asili kila weekend ambao wakati huo dar ilikuwa kama asili yao.
 
Chuo hicho ni cha watanzania ,wote wenye sifa ya kusoma apo , mambo yakutaja watanzania kulingana na dini ,au makabila yao ni ushamba wa hali ya juu, vigezo vya kujiunga na chuo hicho vipo wazi kwa kila mtanzania .

Ukianza kutaja vitu kwa miregwa ya kidini ni kuleta mpasuka na mtengano ,mfano tupo watu wengi sana tanzania tusio amini uwepo wa Mungu ,tukijikusanya na sisi tukataka kipaumbele italeta shida kubwa ,sisi ni wanadamu na hakuna ambae alizaliwa na dini tuishi kwa upendo na kuvumiliana.πŸ™πŸ™
 
Naona wachambia magunzi wanuka mavi wana weweseka
Mtoa mada hata hajaongea chochote, tayari wameshajiingiza vidole kadhaa, kipwinto kimebaki na chenji ya mavi kinawasha, Mudafakas
 
Tuanze na wewe mbulula idiot, Unaenda kuokoteza upupu mtandaoni,
Wapi wanasema hizo funds za kuanzisha zimetoka wapi, onyesha kwenye huo upupu, mbuzi mweusi
 
Waislamu kila siku mnawaza udini tu . Lakini hata tukiwachambua huko huko kwenye udini wenu bado mnaonekana ni wajinga .
Mngese mbuzi wewe, tuweke ligi mimi na wewe mchambia mgunzi
Mtoa mada, ni mgalatia, na hakuna amesema hawa hapa waislamu waliotoa mchango
KMMBkko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…