Wazee wastaafu wa One Night Stand, karibuni tupeane uzoefu. Nikichapa client, ikaleta bonge la conflict, nikatimuliwa ofisini

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
1000070843.jpg

1. Nilishawahi kuvunja ndoa ya mke wa mtu kisa one night stand.

2. Kuna demu wa Kikenya alishachelewa ndege kurudi Marekani kisa hiyohiyo one night stand.

3. Nilikula client mkubwa wa kampuni niliyokuwa nafanya kazi, kukatokea complications nikafukuzwa kazi naye akaacha kutumia hiyo kampuni kisa one ngiht Stand.

Zee staafu la Ona Night stand. Hapa

Nb:-
Uzinzi ni gharama, uzinzi ni hasara, uzinzi ni hatari kwa afya yako, mafanikio yako na future yako
 
View attachment 3663997

Master unachapaje client? Rule no 1, hatakiwi kujua unapoish hata unapofanya kazi.
 
Mshana Jr alishawahi kumyonya mtu kinyeo
 
Back
Top Bottom