Wazee wastaafu wa One Night Stand, karibuni tupeane uzoefu. Nikichapa client, ikaleta bonge la conflict, nikatimuliwa ofisini

Wazee wastaafu wa One Night Stand, karibuni tupeane uzoefu. Nikichapa client, ikaleta bonge la conflict, nikatimuliwa ofisini

View attachment 3663997
1. Nilishawahi kuvunja ndoa ya mke wa mtu kisa one night stand.

2. Kuna demu wa Kikenya alishachelewa ndege kurudi Marekani kisa hiyohiyo one night stand.

3. Nilikula client mkubwa wa kampuni niliyokuwa nafanya kazi, kukatokea complications nikafukuzwa kazi naye akaacha kutumia hiyo kampuni kisa one ngiht Stand.

Zee staafu la Ona Night stand. Hapa

Nb:-
Uzinzi ni gharama, uzinzi ni hasara, uzinzi ni hatari kwa afya yako, mafanikio yako na future yako

View: https://vt.tiktok.com/ZSq2V9nMq/
 
Huwa nachuckua pisi kali mitaa ya exotic alafu napiga one night, Ila Kuna demu mmoja muhindi anasema per night ni laki saba nikakimbia..
 
Back
Top Bottom