Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
"Unaporudi leo mzee na kulia kijana wako kaumizwa mguu kijana wako alikufa ulishindwa nini kumzuia asitoke, ulishindwa nini kumuambia maneno ya hekima asiende" Rais Dkt Samia Suluh Hassani akizungumza na wazee wa Dar.
Hajui kwamba juna watu wamepigwa risasi wakiwa majumbani mwao, wapita njia nao walipigwa risasi , jamani huyu mama ni mzima kichwani kweli au anashida ya akili??
Hajui kwamba juna watu wamepigwa risasi wakiwa majumbani mwao, wapita njia nao walipigwa risasi , jamani huyu mama ni mzima kichwani kweli au anashida ya akili??