Wazee wenzangu 60 +

Wazee wenzangu 60 +

nImefurahi kutambua umri wako
Hakika umekula chumvi nyingi🤣🤣🤣🤣
Kicheko cha nyuma ya keyboard kumbe kinakukera hivyo basi🤐🤐🤐 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kiasi tu madam wangu😆😆 ila bado sijaoa🤣🤣🤣
 
Leo ninemtokea......hajasema lolote....kapiga kimya......sijui nini kitatokea.....
 
Kwa taarifa tu.......
Mzee mwenzangu(huyo bibi) nimempa maneno.....amekaa kimya....sijui nini kitatokea.....napata hofu......kumbuka wewe ndio umenitia moyo... 😐😐😐
 
Mkuu hivi kwa umri huo, ufanisi wa kitendea kazi ukoje?

Maana magonjwa nyemelezi kama sukari presha, moyo na mengineyo yanakuwa tayari yamo au ndio mwendo wa veeaaagaraa.
 
Mkuu hivi kwa umri huo, ufanisi wa kitendea kazi ukoje?

Maana magonjwa nyemelezi kama sukari presha, moyo na mengineyo yanakuwa tayari yamo au ndio mwendo wa veeaaagaraa.
Namshukuru Mungu maradhi nimenusurika.......
Situmii vilevi....sivuti....sili vyakula vya mikebe.....situmii viagra wala dawa ya aina yeyote.
Mazoezi ni kama sala......
Kitendea kazi sio kwamba nakisifu ila kwa sababu umeuliza ni vyema uelewe kiko imara na isitoshe nilibahatika mafunzo ya jando mixer kegel exercises.
 
Back
Top Bottom