Wazee wenzangu akiwemo Paskali Mayalla, tujitahidi sana watoto wetu wawe na kesho njema

Wazee wenzangu akiwemo Paskali Mayalla, tujitahidi sana watoto wetu wawe na kesho njema

nyboma

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
2,308
Reaction score
7,366
- Haya maisha haya? leo kidogo niaibishwe na mtoto wangu kutoka katika korodani zangu katika mojawapo ya kumbi ya starehe katika jiji maarufu.

Kisa na mkasa kakutana na watoto wa big fives, kiukweli leo nimekuwa mpole sana.

Pascal Mayalla
 
Kijana kadaiwa bill ambayo sijawahi tumia katika maisha yangu, very dissapointed
 
Hamna mtoto aliyeomba kuzaliwa dunia hii...including you
Kwa hiyo kama umeamua kuleta kiumbe duniani kuwa mpole na ukae kwa kutulia,
Sio mtu analeta kiumbe duniani, halafu anakuwa na maisha ya dhiki na mateso mpaka kufa kwake, inayomfanya ajiulize hivi kwanini nilizaliwa.......
Ni kweli tafuta hela kama umeamua kuongeza idadi ya population.....
 
Kijana kadaiwa bill ambayo sijawahi tumia katika maisha yangu, very dissapointed
Kwani na wewe unalishwa na Kodi za Watanzania!? Maana mnaolishwa na Kodi za Watanzania ndiyo mnakuwa wafujaji wakubwa wa hizo Kodi!?
 
Kijana kadaiwa bill ambayo sijawahi tumia katika maisha yangu, very dissapointed
Pole Mkuu, lkn unao wajibu wa kutoa somo la Budget kwa familia yako kwamba Wanapotoka nyumbani kwenda matembezini wapange kabla kwamba wanaenda kufanya kipi? Kwa fedha kiasi kipi? Na unapaswa kuwashirikisha ulichonacho kabla au mkiwa safarini kuelekea kwenye mtoko ili watumie kile tu mlichopanga kutumia ili kuwajengea nidhamu ya pesa.
Wanangu tunaenda Marry Brown kupata chakula lkn kumbukeni Budget ya kila mmoja ni Tshs. 20,000/= sawaaa
Anyway Mkuuu ushauri wako ni muhimu sana, Pessa ndio msingi wa kila jambo.
 
Back
Top Bottom