Kijana wako anajua unazo ndio maana kafanya alichofanya unless kuna sehemu ya ukweli wako unamficha.Kijana kadaiwa bill ambayo sijawahi tumia katika maisha yangu, very dissapointed
Kwani na wewe unalishwa na Kodi za Watanzania!? Maana mnaolishwa na Kodi za Watanzania ndiyo mnakuwa wafujaji wakubwa wa hizo Kodi!?Kijana kadaiwa bill ambayo sijawahi tumia katika maisha yangu, very dissapointed
Pole Mkuu, lkn unao wajibu wa kutoa somo la Budget kwa familia yako kwamba Wanapotoka nyumbani kwenda matembezini wapange kabla kwamba wanaenda kufanya kipi? Kwa fedha kiasi kipi? Na unapaswa kuwashirikisha ulichonacho kabla au mkiwa safarini kuelekea kwenye mtoko ili watumie kile tu mlichopanga kutumia ili kuwajengea nidhamu ya pesa.Kijana kadaiwa bill ambayo sijawahi tumia katika maisha yangu, very dissapointed